johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani Red eyes ni Airborne Disease? Wataalamu mkuje kutuelewesha sisi la Saba CKenya yasema Ugonjwa wa Red Eye ulioripotiwa kusambaa kwa kasi nchini Tanzania na kuripotiwa Kesi zaidi ya 800 sasa umeyakumba maeneo ya Pwani ya nchi hiyo yakiwemo Mombasa na Kilifi
Hadi sasa zimeripotiwa Kesi zaidi ya 1000 wengi wao wakiwa wanafunzi wa Shule
Runinga ya Citizen imeonesha namna Mabasi ya Mwendokasi nchini Tanzania yanavyojaza Abiria kupita kiasi Wakati Huu wa mlipuko wa red eyes
Source: Citizen TV
Mlale Unono [emoji1]
Matatu ndio Mwendokasi pale Kenya?Hapo kwenye mwendokasi kujaza watu hao Wakenya wakae kimya tu maana Matatu zao siyo tu zinajaza ila zinashindilia.
mombasa hapo kila siku kuna basi zinaingiza mamia ya watu kutoka tanzania, ikiwemo wa kutoka mkoa wa Dar kwenye red eyesKufika kenya labda madereva ndio wameupeleka ila kama mikoa ya mpakani Arusha , Kilimanjaro na Tanga huo ugonjwa haupo kabisa labda Dodoma huko.
Hapo lazima waupatemombasa hapo kila siku kuna basi zinaingiza mamia ya watu kutoka tanzania, ikiwemo wa kutoka mkoa wa Dar kwenye red eyes
Chimbuko yaan Source ni hapo hapo Nairobi sio Mombasa ya Gongo la MbotoHuu ugonjwa kwanini ulikuwa unaitwa Nairobi Red Eyes?