Kama umengalia video ungeskia maelezo, Hawaki interview kila nchi duniani, wali pick selected emerging economies alafu kama ya hapa kenya amesema wali interview wanabiashara mia moja pekes (hao ni kidogo sana) na sio eti waliwafwata, ni hao wanabiashara ndo walijipeleka wenyewe baada ya invitation kutangazwa....
Hatuwezi kua tumeshinda akina DRC, South Sudan, Angola... Hio itakua haimake sence sababu Hulu kenya kuna ufisadi lakini bado kunamarndeleo na uchumi unakua ...hizo nchi zengine ziko na oil lakini hakuna maendeleo yoyote