Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuwa hata huku kwa sasa wanarudi shule na kutimiza ndoto zao?Data kama hizi mnashobokea sana tena hamchelewi. Lakini zile zinazotaja Kenya mbele yenu huwa ni za kupikwa na za makaratasi. Very useless beings
And by the way, we don't interfere with the future of those girls by locking them out of school like some shithole country I know
Ni wapi nimetaja jina ya taifa lako?Hujui kuwa hata huku kwa sasa wanarudi shule na kutimiza ndoto zao?
Kwanini katika Mambo ya hovyo na kijinga Kama haya Kenya ndiyo inashika nafasi za juu duniani?Data kama hizi mnashobokea sana tena hamchelewi. Lakini zile zinazotaja Kenya mbele yenu huwa ni za kupikwa na za makaratasi. Very useless beings
And by the way, we don't interfere with the future of those girls by locking them out of school like some shithole country I know
Man eat man country, how can a responsible government allow this stupidity?, Kwani Kenya hakuna mawakili wa serikali?Huyu wakili amelipwa ksh 1.3 billion na serikali ya Nairobi county? Aiseeh hii ni noma. Hio ni around $11 million. Lazima Kuna mambo nyuma ya pazia.
Umesahau population living in extreme povertyKwanini katika Mambo ya hovyo na kijinga Kama haya Kenya ndiyo inashika nafasi za juu duniani?
1)Njaa
2)Ukabila
3)Rushwa
4)Crime
5)Political violence
6) Terrorism
7)Mimba za utotoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kumjaza mimba binti wa shule according to you sio interference kwa masomo yake na maisha yake?Data kama hizi mnashobokea sana tena hamchelewi. Lakini zile zinazotaja Kenya mbele yenu huwa ni za kupikwa na za makaratasi. Very useless beings
And by the way, we don't interfere with the future of those girls by locking them out of school like some shithole country I know
Wale wenu waliopata ujauzito na kuwafungia milango za shule walipata hizo mimba through osmosis?Kwahiyo kumjaza mimba binti wa shule according to you sio interference kwa masomo yake na maisha yake?
The legal fees payable is determined by two factors, namely: the complexity of the case and the monetary value involved.Man eat man country, how can a responsible government allow this stupidity?, Kwani Kenya hakuna mawakili wa serikali?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huu ni ujinga na upumbavu, kwanini serikali yenu isitumie wanasheria wa serikali?The legal fees payable is determined by two factors, namely: the complexity of the case and the monetary value involved.
Hatuna ujinga huo wa kudate visichana vya primary school, huku wasichana mtaani ni warembo na wamejaa, ukijulikana una mahusiano ya kimapenzi na under 18, jela miaka 30, hatuna ujinga wenu huo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile aa
Hata iwe wakili wa serekali the fee payable is the same .Huu ni ujinga na upumbavu, kwanini serikali yenu isitumie wanasheria wa serikali?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwanini katika Mambo ya hovyo na kijinga Kama haya Kenya ndiyo inashika nafasi za juu duniani?