Kenya yashika namba tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa kutoka China kwa nchi za Bara la Africa

  1. Tumeingia show tangu JF kuanzishwa. Wamekuja wengi kabla yako na kusema haya ila nambari tunashikilia kidete. Alianza Geza ulole, kafuatwa na Kadoda, motochini,Mulisaa alafu new breeds wakatokea kina mkikuyu akili timamu, joto la jiwe, ichoboy na Sasa naona California na drone camera mshaingia. Karibuni ila mjue Sisi Wakenya...We came to JF We saw we conquered.
 
Yani $50bn isitushinde ije hako ka peanut ka china
Hiyo $50 isiwashinde kiaje yaani? Mlishalipa kiasi hicho cha pesa wapi? Hizo $50+ ni za mashirika ya fedha ya kimataifa hao hawana tabu sana.Ila Mchina akikukopesha hana longolongo na pesa yake.Unairudisha bila kujivuta.Zile 33B kshs za SGR mmeshindwa lipa! China anaenda kupata makoloni ya kutosha Africa sasa!
 
Huwa imekaaje kuona nchi zenye chumi kubwa kama USA na Japan zinakuwa na madeni.

Wataalamu wa uchumi mnasemaje hapa. Au ndio mambo ya kibepari.
 
😂😂 sijajua kama ni povu au nini lakini mimi sina tatizo na kenya wala wakenya couz nyie ni watani zetu na tunatania na kumbiana ukweli tu, au unataka kukataa kua kenya sio namba tatu katika nchi zenye madeni makubwa kutoka kwa wahuni wa Beijing
 
kisa cha nyani na kundule labda......

Swahili Times

@swahilitimes


Deni la Taifa kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi Juni 2019 (takwimu za Rwanda ni hadi Dis. 2018) (TZS):

Kenya: 133.7 trilioni

Tanzania: 51.8 trilioni

Uganda: 27.6 trilioni

Rwanda: 12.4 trilioni

Burundi: 5.4 trilioni Jumla: 230.9 trilioni HT: The EastAfrican



11:29 PM · Nov 12, 2019·Twitter Web App
51
Retweets
 
Uko na ushahidi wowote kutoka kw hao lenders km tumeshindwa kuwalipa.
 
Ungeliweka na pato la taifa kila nchi
 
MK254
 
Nadhani ukichukua ratio ya GDP na madeni unaweza kuta kenya ndio nchi ambayo inatumia vizuri mikopo yake.
 
Both. Start with foreign reserves.

Kuna miezi flani hapo kati ya June na July hua reserves zinapungua hadi kama $7.5B sababu hua ni wakati wa kulipa madeni, lakini hio miezi miengine hua tunachezea reserves za takriban $9B hivi, mwanzo kuna wakati flani mwaka uliopita tulikua na reserves za $10Billion




Kenya Foreign Exchange Reserves [1995 - 2020] [Data & Charts]


Kwahivyo hao wachina wakitusaliti na kuamua ni lazima tuwalipe hela zao zote, kutakua na economic shock kweli lakini uchumi hautaanguka sababu tuko na enough forex reserves ku absorb hio impact ya kulipa deni lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…