Kenya yatajwa kuwa kitovu cha utakatishaji fedha Afrika Mashariki

Kenya yatajwa kuwa kitovu cha utakatishaji fedha Afrika Mashariki

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Ripoti ya Bureau of International Narcotics and Law Enforcement Affairs imeitaja Kenya kuwa kitovu wa Utakatishaji fedha ambao hufanyika kwa taasisi rasmi na zisizo rasmi.

Aidha imetajwa kuwa na wafadhili wa ugaidi, vikundi vya uhalifu wa kimataifa, uhalifu wa mtandaoni, uharamia na biashara haram ya mali pori.

Ripoti imetaja ukaribu wa Kenya na Somalia kijiografia kunaifanya nchi hiyo itumike zaidi kwa vitu biashara haramu na kuwa njia kuu ya madawa, kuuza watu na wanyama Pori.

Wakati huo Tanzania ikisiwa kwa kuwa na sheria ya kuthibiti utakatishaji. Huku ikitajwa kuwa na changamoto ya kitaasisi kudhibiti ukwepaji kodi na rushwa.

Aidha, ripoti imeongeza kuwa matukio mengine ya jinai yanayofanywa katika nchi hiyo ni pamoja na uhalifu wa kimtandao, rushwa, biashara ya magendo, biashara ya wanyama pori, na biashara haramu ya dawa za kulevya na bidhaa bandia, sukari na bidhaa zingine za kilimo.

Kulingana na ripoti hiyo, wahalifu walikuwa wakitumia mitandao isiyohalali pamoja na kutumia mifumo mingine ya utumaji na uhamishaji pesa isiyo na leseni.
 

Attachments

Hawa jamaa ndo wanapambana na sisi tunaoongoza africa kwa kupelekea wananchi umeme vijijini
 
Back
Top Bottom