Kenyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 414 Reaction score 314 Jun 26, 2023 #1 Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki, kupitia gazeti rasmi la Serikali ametangaza Jumatano ya tarehe 28 Juni 2023 kuwa Siku ya mapumziko kwa ajili ya kuadhimisha Eid-Ul-Adha.
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki, kupitia gazeti rasmi la Serikali ametangaza Jumatano ya tarehe 28 Juni 2023 kuwa Siku ya mapumziko kwa ajili ya kuadhimisha Eid-Ul-Adha.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Jun 26, 2023 #2 Tanzania wanasubiri CCM watangaze
Baba wa Mapaka JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 1,827 Reaction score 1,655 Jun 26, 2023 #3 Kwangu pia sikukuu itakuwa 28 June in shaa Allah kwa hiyo kesho tukijaaliwa ni Arafa
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 3,955 Reaction score 6,546 Jun 26, 2023 #4 Baba wa Mapaka said: Kwangu pia sikukuu itakuwa 28 June in shaa Allah kwa hiyo kesho tukijaaliwa ni Arafa Click to expand... Tanzania inafuata hii kalenda
Baba wa Mapaka said: Kwangu pia sikukuu itakuwa 28 June in shaa Allah kwa hiyo kesho tukijaaliwa ni Arafa Click to expand... Tanzania inafuata hii kalenda
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jun 29, 2023 #5 nice