duuh
Kenya imethibitisha kesi yake ya kwanza ya Ebola, baada ya raia wa Kenya aliyekuwa akiishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupatikana na virusi vya Ebola Bundibugyo. Mgonjwa huyo aliwasili Kenya kupitia Uganda na baadae akatibiwa akiwa ametengwa katika Nairobi Hospital. Alifariki Jumatatu Usiku dakika chache baada ya saa tano.
Kwa mujibu wa Duale, mgonjwa huyo alikuwa ameishi DRC kwa takribani miaka 7. Alisafiri kutoka DRC hadi Kampala kwa barabara, kisha akapanda ndege hadi Nairobi tarehe 3 Oktoba 2026.
Wizara ya Afya imetambua mawasiliano 28 ya karibu na mgonjwa huyo wakiwemo wanafamilia na wahudumu wa afya, ambao wanafuatiliwa. Aidha kuna kundi lingine ambalo mamlaka inalifuatilia: abiria 23 na wahudumu wanne wa ndege ya Kampuni ya JamboJet aliyosafiria kutoka Kampala kwenda Nairobi.
Mipango ya kuwatenga watu walio katika hatari pia imeandaliwa kama sehemu ya hatua za kuzuia uwezekano wa kuenea kwa ugonjwa huo. Na kwa kuwa mgonjwa alisafiri kupitia Uganda kabla ya kufika Nairobi, tukio hili linaonyesha tena changamoto ya usafiri wa mipakani katika kudhibiti magonjwa ya mlipuko.
Kwa sasa, taarifa rasmi zinaeleza kuwa kesi hiyo ilikuwa imeingizwa nchini (imported case) yaani mgonjwa aliambukizwa nje ya Kenya kabla ya kurejea nchini na kwa hivyo hilo halimaanishi moja kwa moja kwamba Ebola imeanza kusambaa Kenya.
Ndiyo maana hatua muhimu sasa ni ufuatiliaji wa waliokutana naye, kutambua mapema dalili zozote na kuzuia maambukizi zaidi. Kenya ilikuwa imeanza maandalizi ya Ebola mapema mwaka huu, ikiwemo mafunzo ya zaidi ya wahudumu 1,000 wa afya, kuimarisha uchunguzi katika vituo vya kuingilia nchini na kuandaa vituo vya kutenga na kutibu wagonjwa.
Je, unadhani maandalizi ya Kenya yataweza kuzuia maambukizi ya ndani au hii ndiyo test kubwa ya mfumo wetu wa afya?
Mchongooo huu mkuuu

Nilitaka iingie huko 2027Afcon 27 wasahau
Soon kimeta kitafika Kizimkazi

Ni hatari, Tz tuwe macho!!Noma kubwa sana hiyo
Wizara ya Afya imetambua mawasiliano 28 ya karibu na mgonjwa huyo wakiwemo wanafamilia na wahudumu wa afya, ambao wanafuatiliwa. Aidha kuna kundi lingine ambalo mamlaka inalifuatilia: abiria 23 na wahudumu wanne wa ndege ya Kampuni ya JamboJet aliyosafiria kutoka Kampala kwenda Nairobi.
Congo ni East AfricaHili Gonjwa likiingia EA sijui itakuwaje
Hapana ni south afrika. Kwenye mada hicho kisa kimeongelewa kutokea Kenya au Congo?Kaka mbona
Congo ni East Africa
Lipo Kenya ambao ni EAST AFRICA pia. Nikinukuu umesema huu ugonjwa ukiingia East Afrika sijui itakuwaje. Sasa ndy nakupa taarifa Congo nayo ni East AfricaHapana ni south afrika. Kwenye mada hicho kisa kimeongelewa kutokea Kenya au Congo?
hawajajiandaa kwa hiyo michuano so wanafanya tricks za kuhakilisha wanajitoa ktk uwakilishi waoAfcon 27 wasahau