Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Mgonjwa wa Ebola – Mgonjwa Mkenya amefariki

Sisi madereva wa nchi za mbali dah 🥺🥺
 
Yes ebola ipo lakini haimpati kila mtu, inategemea na uwezo wa mwili wako kupambana na homa.

Ipo na inaua ikikubahatisha.
 
Kwa kweli hapo kenya wametupiga bao wa tz kwa kuwa wa kwanza kuupokea ebola😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…