Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 50
Jamani kwani hamjui-hii nchi haina ndege ya kuweza kufika libya na kuwachukuwa hao raia.hizo nchi zinapeleka ndege zao huko-sisi hatuna cha kupeleka
Jamani kwani hamjui-hii nchi haina ndege ya kuweza kufika libya na kuwachukuwa hao raia.hizo nchi zinapeleka ndege zao huko-sisi hatuna cha kupeleka
Tunayo JWTZ 1 inashinda pale T1. Jana tu imetua kutoka Côte d'Ivoire na Mauritania
inawezekana wameplekwa kwa njia hii-ili kuficha mambo-kuna gazeti moja la uwingereza...limenukuu ktk kwa baadhi ya watu wa libya kwamba baadhi ya wale wanajeshi wa kukodi ("african" marcenaries), wametoka kenya, ghana...na nchi nyengine za africa!!! Sasa sijui kama hilo linahusiana??
Mimi nimewahi kuona "wa kukodi" wausi ambao wameelezwa kuwa wanatoka Nigeria, ingwa hili sina hakika nalo. Nililo na hakika nalo, ni ushahidi toka kwa kijana mmoja wa Mauritania aliyenihakikishia kuwa wapo Wamaouritania wengi wa kukodi. Kuna tetesi kuwa wamepelekwa na raisi aliyepita ambaye ni rafiki mkubwa wa Hitler Ghaddaffi.Kuna Gazeti moja la uwingereza...limenukuu ktk kwa baadhi ya watu wa libya kwamba baadhi ya wale wanajeshi wa kukodi ("african" marcenaries), wametoka Kenya, Ghana...na nchi nyengine za Africa!!! sasa sijui kama hilo linahusiana??
The Air Tanzania fleet included the following aircraft (as of 4 November 2008)
Boeing 737-200-ONE-Stored in Mwanza for repairs
Bombardier Dash 8-300-TWO-Branded
Source-Air Tanzania
INAMAANA NCHI HII TUTEGEMEE NDEGE MOJA?
as long rais hawez ku-share ndege yake na civilian wa kawaida-ndo maana hili swala la kuwatoa watz waliopo libya hakuna kiongoz anaelizungumzia-KWELI KAZI TUNAYO[/COLOR]
Pengine ya pili ni ile ya raisi (ikiwa bado ipo). Nchi hii bana, we wacha tu.
Tanzania Embassy , Libya (linki)
If you have any information about embassy of Tanzania that could be helpful to others, please use this form to post your comments. Any details related to the embassy or any other specifics about embassy of Tanzania that will help other people will be greatly appreciated.
Wabongo waliopo Libya watakiona cha mtema kuni kilichomnyoa kanga manyoya ya shingoni!
Aibuuu!!!
Sounds very cynical, I do agree. But unfortunately that is the truth. So sad. Most, if not all, of our embassies abroad are not capable of rendering help to Tanzanians when faced with catastrophies of this magnitude. Ndio sababu nimesema wabongo walioko Libya watakiona kilichomnyoa kanga manyoya ya shingoni. Just stating the grim facts, as they are. Otherwise, I do feel as helpless as the brothers and sisters trapped in the ongoing mayhem that is taking place in Libya!!!Eeeek? mbona hivyo mkubwa?