Kenya yatwaa nafasi ya 12 kwenye uongozi bora

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya yazidi kuboreka kwenye masuala ya uongozi na utawala wa sheria. Sasa imeshikilia namba 12 ndani ya mataifa 54 yaliyohusishwa kwenye huu utafiti ambao ulifanywa na shirika la Mo Ibrahim.

Jameni hili ni jambo la kutia moyo ikizingatiwa jinsi uchumi wetu umekua kwa kasi ndani ya miaka michache iliyopita na pia tunavyozidi kuboresha miundo mbinu na kutekeleza katiba mpya

=====================================

Kenya has improved in governance over the past 10 years, a report has shown.

According to the report by the Mo Ibrahim Foundation released Monday in London, Kenya ranked 12th out of 54 countries in overall governance, with a score of 59 per cent, a 5.1 improvement over the past 10 years.

However, the report stated that the progress in African governance over the past decade was being held back by deterioration in safety and rule of law.

“Kenya is one of the 10 countries that improved across all four sub-categories of the Sustainable Economic Opportunity category,” the report stated.

The 2016 Ibrahim Index of African Governance (IIAG) indicated that over the past decade, overall governance had improved.

“The overall positive trend has been led mainly by improvement in Human Development and Participation & Human Rights. Sustainable Economic Opportunity also registered an improvement, but at a slower pace,” said the report.

The 10th edition of IIAG brings together data to assess African countries against 95 indicators drawn from 34 independent sources.

The deterioration in the rule of law, it stated, had worsened recently, with almost half of the countries on the continent recording their worst score ever in this category within the last three years.

This year, for the first time, the IIAG includes Public Attitude Survey data from Afrobarometer.

This captures Africans’ own perceptions of governance, which provide fresh perspective on the results registered by other data such expert assessment and official data

Kenya rises in governance ranking
 
That is a kenyan article that seeks to document killings by police, and tries to compare it with known countries which have that vice....... as part of a campaign for the government to be more acountable...
hebu sasa tuonyeshe media moja yenu ambayo inaeza tubutu ku expose askari jeshi vibaya kama hivyo bila hio media station kufungwa kabisa na kunyimwa leseni ya utangazaji
 
Huko kwao lazima vyombo vyote vya habari vijikombekombe, hata taasisi za kiutafiti za kisayansi kama TWAWEZA.

Inafaa iwaingie hawa majirani zetu wa kusini kwamba kwa nchi yetu kupiga hatua hivi sio juhudi za rais pekee yake, bali ni juhudi za kila Mkenya, hususan vyombo vyetu vya habari na mashirika yasiyo ya kiserikali na vyama vya upinzani vikiwemo hata vile tanzu. Sote tumeungana kuhakikisha serikali na vyombo vyote vya utawala na dola vinafanya kazi ipasavyo. Maovu yanaanikwa mara moja tena bila uwoga.

Kuwatawala Wakenya lazima uwe umejipanga sana maana hatukawii kuingia barabarani na kukemea uovu wowote. Sio kama huko kwao siku wanataka kufanya maandamano ya amani, jeshi la nchi linatiririka kitaa kufanya usafi na kupanda miti huku wamevaa full jungle uniform.
 
Kuwatawala Wakenya ni rahisi sababu ya upumbavu wao. Hakuna hata siku moja Wakikuyu wakampinga Uhuru (au Rais yeyote Mkikuyu).Wakikuyu wote kama wewe mmejipanga mitandaoni kumsifia Mkikuyu mwenzenu Uhuru.
 
Kuwatawala wakenya unahitaji kuwa MKIKUYU...
 
Wakenya ni kati ya majitu ya hovyo sana, kuyaongoza ni sawa na kuswaga wanyama haswa anaeongoza akiwa wa kabila lao, taifa linalozungumza makabila mpaka karne hii...alaf yanajitoa ufaham, na hata aliepost hapa mtafute litakua lkikuyu
 
hahaha, mkuu sisi tunaandamana, tunapiga aina yote ya kelele serikali ikifanya ujuaji, tunapinga ushenzi wa serikali and we keep it accountable, tunauliza maswali magumu.. nyinyi mmekua kama kondoo, kukubali kila kitu serikali inasema.. unadhani opposition ya Kenya ikikatazwa kuandamana kutakalika? Nyie ny.umbu, kufwatana bila kujua mnaelekea wapi. Alafu we are proud of our tribes mkuu, hapo usidhani tutakuja pinga.
 
Kuwatawala Wakenya ni rahisi sababu ya upumbavu wao. Hakuna hata siku moja Wakikuyu wakampinga Uhuru (au Rais yeyote Mkikuyu).Wakikuyu wote kama wewe mmejipanga mitandaoni kumsifia Mkikuyu mwenzenu Uhuru.

Lakini huyo unayemuita mkikuyu unaeza mlinganisha na huyo jamaa wenyu hapo asiejua hata diplomasia ya urais? unaeza mlinganisha na jamaa anayekwepa mikutano ya kimataifa kwa kuwa hajui lugha ama ushawishi wakuongea na the international world?
 
Aaaa wewe unadhani kuandamana kama nyumbu na kujaza mabarabara ndo sifa? Ukae ukijua Mtz ni mtu anaekaa na kufikiria kabla ya kufanya maamuzi ya kipuuzi ndo maana nchi hii iko na amani kuwazidi nyie Nyang'aus
 
Kama huwezi pigania haki yako wewe ni mtumwa, mtu bure kabisa. A lethargic populace easily swayed by an emotional leader is what we don't want, nyie bado mko huko, era za nyayo.
 
Tusiwe wanafiki Kenya utawala ni wa wananchi hasa.tofauti na hapa kwetu uchaguzi ukiisha inabaki ndiyo mzee mpaka siku ya uchaguzi.
 
Lakini huyo unayemuita mkikuyu unaeza mlinganisha na huyo jamaa wenyu hapo asiejua hata diplomasia ya urais? unaeza mlinganisha na jamaa anayekwepa mikutano ya kimataifa kwa kuwa hajui lugha ama ushawishi wakuongea na the international world?
Acha kumfananisha Magufuli na huyo mlevi wenu. Uhuru hana chochote cha kujivunia tokea yupo Waziri hadi sasa amekuwa Rais. Kuchukua mikopo China na kujenga barabara inafanywa na Marais wote Afrika.
 
Tusiwe wanafiki Kenya utawala ni wa wananchi hasa.tofauti na hapa kwetu uchaguzi ukiisha inabaki ndiyo mzee mpaka siku ya uchaguzi.
Huijui Kenya wewe, picha za Uhuru na kelele za Wakikuyu mitandaoni zinakudanganya.
 
Kama huwezi pigania haki yako wewe ni mtumwa, mtu bure kabisa. A lethargic populace easily swayed by an emotional leader is what we don't want, nyie bado mko huko, era za nyayo.

Hehehehe
 
Usiishie kwenye kupost links za vurugu baina ya polisi na waandamanaji tu, endelea kupost link zote hadi za matunda ya hayo maandamano pia. Baada ya hayo maandamano, leo hii makamishna wanakwenda nyumbani na wataajiriwa wengine kwa kuzingatia utaratibu wa makini sana. Usipojifunza kitu hapo, basi una matatizo.
 
Boss unajua shida na hawa ndugu zangu huwa hawaoni changes zinazotokea kila wakati jambo kama hili likitokea, hawaoni restructuring ya police force, IEBC vitu kama hizo. wamezoea huko kwao marungu yakitoka kila mtu anarudi kwake inakua business as usual. Hapa kwetu hakuna kitu kama hicho, rungu zinatoka na tunapigwa tu na kesho tupo pale pale tumaandamana. Tuko na challenges kibao sikatai, lakini upande wa demokrasia nadhani hapo bongo bado sana, hawajapata hata challenge moja ya multipartism, ndio wanaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…