Kenya yaupiga mwingi,tuige mfano huu wa kenya tusonge mbele zaidi.

Kenya yaupiga mwingi,tuige mfano huu wa kenya tusonge mbele zaidi.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Ubunge iwe ni nafasi ya mtu mwenye uchungu na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi na usiwe kigezo cha mtu kwenda kujichumia mali .

FB_IMG_16525231225750404.jpg
 
Hii habari siiamini hadi nione vyanzo vingine credible zaidi, maana kama ingekuwa kweli ingekuwa big news kwenye media za Kenya, ila sijaiona huko zaidi ya kuwa Wabunge wamebaniwa kujiongezea mishahara

Kenya ni kati ya nchi zenye wanasiasa walafi zaidi Duniani
 
Ongezeko la milioni 9 kwa mwezi si ni sawa tu na posho

Wanatuchezea changa la macho
 
Wamechukua mawazo ya Zitto Kabwe
UBUNGE ULIPASWA UWE NI KWA WAZALENDO UTASHI MORALE YA NDANI YA MOYO NA SI SEHEMU YA WATU KUKIMBILIA MPAKA KUTOANA ROHO UZALENDO NDIYO UWE UNAMTUMA MTU BUNGENI NA SI KIMBILIO MPAKA LA WAHUNI.
 
Back
Top Bottom