Kenya yawatambua rasmi Wahindi kama kabila la 44 la wakenya

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Tanzania inakisiwa kuwa na makabila 120 tuongeze kabila la 121 la wahindi na tutangaze rasmi .Kenya inawatambua wahindi kama kabila la 44 la makabila ya kenya.Hapa ndipo walitambuliwa rasmi kama kabila la 44 la kenya.Ukitaja makabila ya kenya ya wakikuyu,wajaluo nk ussaihau kabila la wahindi

Tatizo hawa wa Tanzania wapo mguu ndani mguu nje siyo wakazi hasa hapa wamepanga tu kwenye nyumba za NHC makazi yao ni kwao India na hata biashara zao japo zipo huku ila faida wanapeleka kwao inakuwa ngumu kuwatambua kama ni wenzetu

Huenda huko Kenya wameshakuwa settlers ndiyo maana wametambulika kwako mleta mada
 
Muhindi anaroho mbaya na yakichawi kuliko mrangi hastahili kutambuliwa kama mtanzania unazani nyerere na idd amin dadaa walikuwa matahira kuwatimua?
 
Wanakaa hivyo mguu ndani na nje kwa ajili ya mnavyo wapokea. Hawajasahau alichowafanyia Id Amin.
Mkiwahakikishia haitotokea wafurushwe bila hata shilingi mfukoni, basi watatulia na kuwekeza.
 
Kajanbhai mtamu sana asikwambie mtu, huyu hapa mbebez wangu tupo ziwani kidogo...hapa mapenzi tuu[emoji7] [emoji8] [emoji173] [emoji182]
FB_IMG_1508593782440.jpg
 
wanachokosea waafrika kuwapa uraia wageni ni kuendelea kuwatambua kwa asili yao, hilo uendelea kuleta matabaka katika nchi na kujiona wao bado ni wa kule walipotoka na dio maana mchangamano halisi unashindikana mfano ndoa hakubali kabisa dada zao kuolewa na wenyeji. Mimi ningekuwa mamlaka wanapopewa uraia unawaambia wachague kabila na ukoo ambao watakwenda kusajiliwa, watajifunza mila za kabila lile, na desturi za ukoo na watabadilisha majina yao yaendane na ukoo wao mpya
 
Mbona Wamakonde walipotoka Msumbiji na kuishi na nyie, hamkuwaambia wachague kuwa Wasukuma au Wachagga.
 
sijaongea kama mtanzania ama mkenya. Ni mawazo yangu binafsi kama ningekuwa na mamlaka kitu ambacho sicho. Nimekosoa sii kwa hili lilitotokea Kenye lakini nimeongea general kwani hata Tanzania kuna watu wanapewa uraia lakini wanaendelea kutambulika kama wasomali, wanyaruanda, wahindi n.k. Hili suala ndio linanikera binafsi
 
Kwahiyo kabila la mtu Kenya ni muhimu ili kuhalalisha uraia wa mtu au lengo lenu ni lipi kusema mnawatambua wahindi kuwa ni ukabila rasmi la Kenya?
sijaongea kama mtanzania ama mkenya. Ni mawazo yangu binafsi kama ningekuwa na mamlaka kitu ambacho sicho. Nimekosoa sii kwa hili lilitotokea Kenye lakini nimeongea general kwani hata Tanzania kuna watu wanapewa uraia lakini wanaendelea kutambulika kama wasomali, wanyaruanda, wahindi n.k. Hili suala ndio linanikera binafsi
 
Muhindi anaroho mbaya na yakichawi kuliko mrangi hastahili kutambuliwa kama mtanzania unazani nyerere na idd amin dadaa walikuwa matahira kuwatimua?
Nyerere hajawahi kuwatimua Wahindi. Wacha uongo.

Iddi Amin na Kenya pia ndiyo waliwahi kuwatimua wahindi kiaina.
 
Mbona Wamakonde walipotoka Msumbiji na kuishi na nyie, hamkuwaambia wachague kuwa Wasukuma au Wachagga.
Wamakonde, Wayao,wanyasa, wangoni, wadigo, wamasai, Wayao, wafipa wapo nchi zaidi ya moja. Hapo wasemaje?
 
sijaongea kama mtanzania ama mkenya. Ni mawazo yangu binafsi kama ningekuwa na mamlaka kitu ambacho sicho. Nimekosoa sii kwa hili lilitotokea Kenye lakini nimeongea general kwani hata Tanzania kuna watu wanapewa uraia lakini wanaendelea kutambulika kama wasomali, wanyaruanda, wahindi n.k. Hili suala ndio linanikera binafsi

Humu tunajadili bila kujali unaongea kama Mkenya au Mtanzania, maana kwa hili nina hakika kuna hata Wakenya wenzangu hatuendani.
Lakini ninachosema, haupaswi kubadilisha asili ya mtu kisa umempa uraia, hata hayo makabila hapo Tanzania kuna mahali yalitoka kabla kuingia kwenye hiyo ardhi, Wangoni walitokea Afrika Kusini, Wasukuma wakatokea Kongo, yaani hakuna kabila lolote ambalo chimbuko lake ni hapo Tanzania au Tanganyika ya enzi zile. Lakini hakuna kabila hata moja lililazimishwa kubadilisha asili yao, kila moja liliendelea kutambulika kivyake.

Wamakonde tumewapa uraia na kuwatambua kama kabila la kwetu, lakini tamaduni zao, lugha yao na kila kitu kinachowahusu tumewaruhusu waendelee kudumisha na kufurahia. Vijana wao tayari wameanza kuingizwa jeshini maana ni raia wetu na watoto wetu wazalendo.
Muhindi ambaye babu zake ni wazawa wa Kenya hana sehemu nyingine anaijua kama nyumbani, ila Kenya na hatuwezi kumlazimisha aanze kujiita Mjaluo au Mkikuyu, tunapokea na kuishi naye kama mmoja wetu, akiwekeza awe anafanya akijua anawekeza nyumbani, sio kumpa uwoga uwoga kwamba ipo siku atafurushwa.
 
Nyerere hajawahi kuwatimua Wahindi. Wacha uongo.

Iddi Amin na Kenya pia ndiyo waliwahi kuwatimua wahindi kiaina.
Unawatetea wahindi ni baba zako? Unazijua tabia za asili za Muhindi? Najua aliwafukuzaga wazungu ila muhindi nae ni mbwa tu
 
Unaonesha dhahiri jinsi ulivyo punguani. Wahindi wamekukosa nini au ni wivu tu kuwa wao wameweza uliposhindwa wewe?

Wahindi haohao unaowachukia wewe ndiyo walikuwa madaktari wa awali Tanganyika, licha ya udaktari ni wao ndio waliobadilisha sura ya miji yote Tanganyika.

Jifunze kuangalia wenzako kwa mtazamo chanya.
 
Mshenzi tu na wewe kumbe muhindi kabadili miji yote ya tanganyika? Huo ni utahira au kwa sababu wamejaa kariakoo, Mbeya kuna hadi mtaa mwanza pia. mikoa mingine unaijua?
.
Kwa taarifa yako muhindi kwangu si lolote namchukia vibaya mno.
Nawafanyaga mbaya wakiingia kwenye 6 zangu wananifahamu vizuri sana, kama na wewe ni muhindi omba sana usiwahi kutana na mimi.
 
Hata lugha yako inaonesha ulivyo punguani na unauonesha dhahiri ushenzi wako katika maandiko yako. Unaongea chuki bila ya kuwa na sababu yoyote ya msingi.

Kwa kukujuza tu, Hata jumba la bunge la kwanza Tanganyika lilitolewa msaada na Karimjee, kisia ni nani huyo?

Nenda miji mikuu yote Tanzania ukajionee ilijengwa na nani.
 
Mshenzi tu na wewe kumbe muhindi kabadili miji yote ya tanganyika? Huo ni utahira au kwa sababu wamejaa kariakoo, Mbeya kuna hadi mtaa mwanza pia. mikoa mingine unaijua?
.
Kwa taarifa yako muhindi kwangu si lolote namchukia vibaya mno.
Nawafanyaga mbaya wakiingia kwenye 6 zangu wananifahamu vizuri sana, kama na wewe ni muhindi omba sana usiwahi kutana na mimi.

Wewe huna lolote la kumtisha muhindi, kakushinda kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom