Tatizo hawa wa Tanzania wapo mguu ndani mguu nje siyo wakazi hasa hapa wamepanga tu kwenye nyumba za NHC makazi yao ni kwao India na hata biashara zao japo zipo huku ila faida wanapeleka kwao inakuwa ngumu kuwatambua kama ni wenzetu
Huenda huko Kenya wameshakuwa settlers ndiyo maana wametambulika kwako mleta mada
Nakubaliana nawe, nimefanya kazi na wahindi kadhaa na wanapenda kutumia watu vibaya.Muhindi anaroho mbaya na yakichawi kuliko mrangi hastahili kutambuliwa kama mtanzania unazani nyerere na idd amin dadaa walikuwa matahira kuwatimua?
wanachokosea waafrika kuwapa uraia wageni ni kuendelea kuwatambua kwa asili yao, hilo uendelea kuleta matabaka katika nchi na kujiona wao bado ni wa kule walipotoka na dio maana mchangamano halisi unashindikana mfano ndoa hakubali kabisa dada zao kuolewa na wenyeji. Mimi ningekuwa mamlaka wanapopewa uraia unawaambia wachague kabila na ukoo ambao watakwenda kusajiliwa, watajifunza mila za kabila lile, na desturi za ukoo na watabadilisha majina yao yaendane na ukoo wao mpya
sijaongea kama mtanzania ama mkenya. Ni mawazo yangu binafsi kama ningekuwa na mamlaka kitu ambacho sicho. Nimekosoa sii kwa hili lilitotokea Kenye lakini nimeongea general kwani hata Tanzania kuna watu wanapewa uraia lakini wanaendelea kutambulika kama wasomali, wanyaruanda, wahindi n.k. Hili suala ndio linanikera binafsiMbona Wamakonde walipotoka Msumbiji na kuishi na nyie, hamkuwaambia wachague kuwa Wasukuma au Wachagga.
sijaongea kama mtanzania ama mkenya. Ni mawazo yangu binafsi kama ningekuwa na mamlaka kitu ambacho sicho. Nimekosoa sii kwa hili lilitotokea Kenye lakini nimeongea general kwani hata Tanzania kuna watu wanapewa uraia lakini wanaendelea kutambulika kama wasomali, wanyaruanda, wahindi n.k. Hili suala ndio linanikera binafsi
Nyerere hajawahi kuwatimua Wahindi. Wacha uongo.Muhindi anaroho mbaya na yakichawi kuliko mrangi hastahili kutambuliwa kama mtanzania unazani nyerere na idd amin dadaa walikuwa matahira kuwatimua?
Wamakonde, Wayao,wanyasa, wangoni, wadigo, wamasai, Wayao, wafipa wapo nchi zaidi ya moja. Hapo wasemaje?Mbona Wamakonde walipotoka Msumbiji na kuishi na nyie, hamkuwaambia wachague kuwa Wasukuma au Wachagga.
sijaongea kama mtanzania ama mkenya. Ni mawazo yangu binafsi kama ningekuwa na mamlaka kitu ambacho sicho. Nimekosoa sii kwa hili lilitotokea Kenye lakini nimeongea general kwani hata Tanzania kuna watu wanapewa uraia lakini wanaendelea kutambulika kama wasomali, wanyaruanda, wahindi n.k. Hili suala ndio linanikera binafsi
Unawatetea wahindi ni baba zako? Unazijua tabia za asili za Muhindi? Najua aliwafukuzaga wazungu ila muhindi nae ni mbwa tuNyerere hajawahi kuwatimua Wahindi. Wacha uongo.
Iddi Amin na Kenya pia ndiyo waliwahi kuwatimua wahindi kiaina.
Unaonesha dhahiri jinsi ulivyo punguani. Wahindi wamekukosa nini au ni wivu tu kuwa wao wameweza uliposhindwa wewe?Unawatetea wahindi ni baba zako? Unazijua tabia za asili za Muhindi? Najua aliwafukuzaga wazungu ila muhindi nae ni mbwa tu
Mshenzi tu na wewe kumbe muhindi kabadili miji yote ya tanganyika? Huo ni utahira au kwa sababu wamejaa kariakoo, Mbeya kuna hadi mtaa mwanza pia. mikoa mingine unaijua?Unaonesha dhahiri jinsi ulivyo punguani. Wahindi wamekukosa nini au ni wivu tu kuwa wao wameweza uliposhindwa wewe?
Wahindi haohao unaowachukia wewe ndiyo walikuwa madaktari wa awali Tanganyika, licha ya udaktari ni wao ndio waliobadilisha sura ya miji yote Tanganyika.
Jifunze kuangalia wenzako kwa mtazamo chanya.
Hata lugha yako inaonesha ulivyo punguani na unauonesha dhahiri ushenzi wako katika maandiko yako. Unaongea chuki bila ya kuwa na sababu yoyote ya msingi.Mshenzi tu na wewe kumbe muhindi kabadili miji yote ya tanganyika? Huo ni utahira au kwa sababu wamejaa kariakoo, Mbeya kuna hadi mtaa mwanza pia. mikoa mingine unaijua?
.
Kwa taarifa yako muhindi kwangu si lolote namchukia vibaya mno.
Nawafanyaga mbaya wakiingia kwenye 6 zangu wananifahamu vizuri sana, kama na wewe ni muhindi omba sana usiwahi kutana na mimi.
Mshenzi tu na wewe kumbe muhindi kabadili miji yote ya tanganyika? Huo ni utahira au kwa sababu wamejaa kariakoo, Mbeya kuna hadi mtaa mwanza pia. mikoa mingine unaijua?
.
Kwa taarifa yako muhindi kwangu si lolote namchukia vibaya mno.
Nawafanyaga mbaya wakiingia kwenye 6 zangu wananifahamu vizuri sana, kama na wewe ni muhindi omba sana usiwahi kutana na mimi.