Kutoka katika kielelezo ulicho ambatanisha haitoshi kuonyesha kunakupikwa kwa matokeo ya kura za maoni. ukiacha jina la steadman linalotumika kwenye hiyo power point, mtu yeyote anaweza kuwa ametengeneza hii ripoti. maana hata mimi naweza kuitengeneza. bila kuwa na uthibitisho zaidi inabaki kuwa na siasa za kelele tu. hakuna signature kokote pale kwenye hio document kunyesha ni ya kweli au la. Lakini swali la wazi tu UNATARAJIA RAILA ATALETA NINI KIPYA KWA MKENYA WA CHINI? UKIZINGATIA NA YEYE NI MVINYO WA ZAMANI TOKA KWENYE MZABIBU ULE ULE?
Ahsante Mkuu Mzeeba kwa majibu ya kwako. Hili document ni la huko litokako. WaKenya wengi tuu wameshaipokea na mimi niliona akheri ni igawie wanaJF pia wafaidike kuisoma. Basi lisemwalo lipo na la Kibaki linjiani laja. Already kuna fununu huku kwetu kwamba Jeshi linajiandaa kumpa salute ya mwisho kama Amri Kuu mwema ambayeametusaidia sana ila wengi waKenya, wao hao unaosema wa kawaida nikiwemo mimi tunahisi amwachie Raila aendelee kwa kasi mpya.
Kuhusu nini kipya au zaidi Raila ataleta. Nina majibu manne:
1. Soma hio manifesto ya ODM ambayo nimeipost hapa kwa thread ya awali. Pamoja na uwahi kutembelea website yake
www.raila07.com. Unaweza pia kutembelea website ya Kibaki kisha ufanye comparison.
www.kibaki.co.ke
2. Sisi waKenya tunataka katiba mpya ile huku inajulikana kama THE BOMAS DRAFT iliyotengezwa na wasomi, watafiti na wataalamu waKenya na wakimataifa waliokaa chini ya Commission ya Profesa Ghai iloteuliwa na Moi kumaliza kazi yake ya kukusanya maoni ya waKenya. Kibaki alikataa hii draft na akaleta nyingine liitwalo KILIFI DRAFT ambalo waKenya waliikataa 81% katika Referendum au kura ya maoni 2005. Kizingiti ya campaign za Raila na ODM ambaye waKenya wengi wanamsifia sana ni ahadi yake kuifufua, kusahihisha na kutekeleza BOMAS DRAFT. Hili NDIO LIPYA ambalo waKenya waliowengi wanatarajia toka kwa Raila na upinzani yaan ODM. Amini usiamini, wanamuamini kuliko yeyote yule aliyebobea kwenye siasa za Kenya leo hii. Aliwaambia waikatae KILIFI Draft na wakafanya hivyo. Sasa anawaambia wakti wa katiba ya mwananchi BOMAS draft umewadia na wanamwamini pia. Mimi pia. All the development initiatives or lack of them, grow out of the laws of the land as enshrined in the constitution of that land. A faulty constitution in a wealthy nation is not useful. A new and popular constitution in a steadily growing economy like Kenya is a beacon of hope. This is the newness that Kenya's peasants who many agree, are ranked among the most highly politically aware Africans on the continent today.
3. Chini ya Bomas Draft, Kenya automatically becomes a Federal Republic. Kila mkoa au jimbo litakuwa na serikali ndogo, bunge ndogo zitakazojadili priorities na utimishi wa maliuma na natural resources za eneo hilo pamoja na serikali ya kati au Federal government itakayoweka makao yake Nairobi. Wataalamu na wasomi wengi tu huku wanakubaliana kwamba ile shida sugu ya ukabila au mtindo wa kabila moja kukandamiza zingine kutumia utumishi mbaya na waubaguzi wa rasilmali kupitia Unitary system of government iliyopo sasa, pengine utadidimia. Kwa ufupi, Kibaki ameletaa maendeleo kweli lakini waKenya wanajua Kenya inauwezekano wa kuendelea hata zaidi na kwa usawa mkubwa chini ya serikali za majimbo na siyo serikali yenye kabila na mkoa wa Rais mtawala ndio unanyonya maeneo mengine huku ikiwasukumia mabakshishi tu. The basis of Kenya's famous tribalism is economic disparities bred by our colonial and post-colonial history. One way, and I reapeat only one way, of confronting this issue squarely is to reorganize the political system so that ethnic competition can be redirected towards national development in the form of ethnic cooperation. The richest jimbo and the poorest jimbo all become children of one parent, the Federal Government in Nairobi with each child getting "pocket money" that is equal to her needs. Lazima kutatokea shida haa na pale lakini baada ya kutambaa hii system inawezekano yakujenga Kenya kwa msingi ya unity in diversity kuliko system tulonalo sasa. Maybe pia at one time Tanzania bara itaiga mtindo huu. Mikoa kama Singida, Mbea, Kigoma, Mara, etc zitaweza kudetermine their own priorities na sio CCM iliyo na makazi yake mbali hukoo Dar. Mimi nina imani kwamba system hii ikifanikisha mipango za kitaifa za Kenya, nyini ndugu zetu waTanzania, waGanda, waSomalia, WaCongo na hata waNyarwanda na Burundi wanaweza pia borrow the same na kuimodify ili ilifit kwenye muktadha wa historia na usasa wa nchi zao. Lets not fear the Federal system by citing examples like Nigeria where some chaos have been fuelled by semiautonomous power of the various states esp. in the North. We can look at economically maturing economies like Brazil, Mexico, India and even the brighter side of the Nigerian system. Today in Nigeria, all states have internationally credible stadiums, universities, school system, and governance frameworks. Maybe the inefficient manipulation of these systems via corruption and other ills contributes to the general negative image of Nigeria but realists will agree that looked at closely in terms of each state on its own, the Nigerian states have brought more positive change to the benefit of more Nigerians than their former Unitary system of governance. The problem is never quite with the jembe...it is with the mkulima. I am pursuaded sometimes, like now, that it is not a system that is bad, it is the user of the system. The Unitary system of government in Kenya is not bad as such but its users have painted it in the wrong colors. Because these colors are difficult to wash away, we decide to have a new cloth altogether, the Federal system of government. The hope or gamble is that we will not also soil this new system.....because maybe then we would not have another option as we have now!
4. Siasa za Kenya leo zinachapwa katika nyanja ya ukabila kama zamani zetu. Ila kuna kipya kimechoibuka. Siasa hizi hivi sasa pia zinachezwa katika nyanja ya riika au generation ukipenda. Wananchi wanataka the Kibaki Generation ambaye imekuwa mamlakani toka enzi za Uhuru iwaachie nafasi Generation ya akina Raila, Uhuru Kenyatta na Gideon Moi. Kwa mfano, sidhani huko Bongo akina riika ya Nyerere bado wako katikati ya mamlaka na uongozi. Vile vile Uganda riika ya Obote haipo ndani. Ila Kenya wale walio katika kitovu cha Siasa na serikali ni wale wale waliokuwa tangu zama za Kenyatta! Kibaki, Awori, Michuki, Karume, Nyachae na wengineo. Kipi kipya cha pili basi ni hiki: generational change, whether for good or bad it doesnt matter. A change is as good as a rest.
Nadhani nimefanya ile inaitwa kwa Kimombo an oversimplification of the issues but at least hii information itakupa understanding wakati mtakuwa mna pokea news Bongo kwamba Raila ameshinda kwa asilimia zaidi ya 50%wiki mbili toka leo.
Tumpeni support Raila na tumpeni pongezi Kibaki.