Dude calm down! Presha itapanda bure. Wakenya ni weusi zaidi ya Watanzania. Hizi nyuzi ni za kuonyesha baadhi mandhari ya kupendeza Kenya. Ukipenda anzisha ya Tanzania upost picha.
Kisha sikuelewi unaposema Kenya wana hatred dhidi ya 'mtu mweusi'. Tafadhali tufafanulie?