Kenyaforum: Who is your best conversationalist?.

wana ku-admire sana japo kwa siri.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
LOL mwanzoni nilikuwa naandika makala zinagonga 20000 views in 3 days halafu naingia the East African nakuta mtu kanijibu...[emoji23]
 
LOL mwanzoni nilikuwa naandika makala zinagonga 20000 views in 3 days halafu naingia the East African nakuta mtu kanijibu...[emoji23]
nakumbuka hiyo kitu.ulikuwa unaleta link hapa.

kuna wakati niliingia kwenye baadhi ya blogs na forums za kenya,nikakuta unajadiliwa.

nikaenda nairaland,nikakuta wakenya wanakujadili,nikaingia skyscrapercity nikakuta wakenya wanakujadali.
wewe sio mtu wa mchezo mchezo mkuu.hongera.
 
Unakumbuka kuna mtu aliandika opinion the East African just kuni-address mimi alikuwa anadai ninaidharaulisha Kenya...LOL ikabidi nibadili all my accounts fasta nikatengeneza mpaka email maalum kuitumia humu. Weeks later naona watu wamenyakua picha zangu za fb wasijue account fake. Nimewaangaisha hawa watu...nimewahi kupata mialiko mingi ati ya bia na kutongozwa na wadada wa Kikenya just kutaka kunijua mi ni nani.
 
Mimi navutiwa sana na wachangiaji wakenya, wanatoa michango yenye akili sana kutuzidi sisi watanzania kwa mbali sana, sisi tujikite kwenye makinikia
baraza la kiswahili tanzania (bakita) juzi kati waliibuka na kudai kuwa mchanga wenye madini hauitwi "makinikia" bali huitwa "MASHOBO".[emoji23] [emoji23]
 
duh!!...sikujua kama ulikumbana na madhira hayo.pole sana bro...hope all is well now.
 
ahahaaaa kumbe mmetoka mbali
Ungekuwepo kipindi hicho na sasa ungeona kwa jinsi gani tulivyofanikiwa kutuliza ego za Wakenya humu ndani! Kuna kipindi anakuja mtu na arrogance yake ya kujikweza natumia masaa kusaka ukweli na kuueleza humu ndani. Cha ajabu unakuta una-post clips za Nationmedia ama Standardmedia toka their youtube accounts the next day unakuta wametoa kisa kuna journalists wao wamo humu ndani na matumizi yake humu yanawadharaulisha.
 
Those were the days mtu ulikuwa unabisha mpaka unakula ban...
Hahahaha.... kenyaforum ilikuwa katika ubora wake.

kimweri pia alifanya kazi kubwa sana hapa kenyaforum.maandiko yake yanabaki kama alama.vizazi vijavyo watakuja kuyatumia kama rejea(reference).

sijui JPM kampa nafasi nyeti maana sioni akiwa active na jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…