Kenyaforum: Who is your best conversationalist?.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
bora tubaki hivi hivi hatufahamiani kwa sura maana wengine huwa tunatembelea sana huko kenya kwenye shughuli zetu mbalimbali.

watu wanaweza wakakutegeshea vitu vyenye ncha kali pale boda ya namanga[emoji23] [emoji23]

Kabisa
 
Geza Ulole,mwaka 2011 katika
siku zangu za mwanzo baada ya kujiunga jf na baada ya kuanza kufatilia mijadala ya JF,kulikuwa na member wawili wakenya kabaridi na nairoberry.

hawa jamaa walikuwa na chuki isiyo kifani dhidi ya tanzania.sikuwahi ona hata siku moja wakiizungumzia tz kwa mazuri.kila kitu kuhusu tz kwao kilikuwa ni kibaya.

sijui walipatwa na masahibu gani.huyo kabaridi ilipofika 2013 akatoweka,nairoberry nadhani mara ya mwisho kuonekana hapa ilikuwa ni 2014.
 
Nahisi hawa jamaa labda walitendwa na wadada wa bongo..
 
For the first time, there is a peaceful discussion in here!
 
Hahahah nawakumbuka sababu ya kuwatafutia muarobaini sijui waliishia wapi..
 
bora tubaki hivi hivi hatufahamiani kwa sura maana wengine huwa tunatembelea sana huko kenya kwenye shughuli zetu mbalimbali.

watu wanaweza wakakutegeshea vitu vyenye ncha kali pale boda ya namanga[emoji23] [emoji23]

Sidhani kama humu kuna kitu huwa mnasema ambacho kinaweza kusababisha uhasama na Wakenya, maana nyote huwa mnazungukia kwenye vitu vya kawaida kama njaa Turkana, Kibera na Alshabaab. Labda pale unakua too personal kwa mtu, lakini vitu vingine mbona vya kawaida tu. Binafsi sijaona chochote ambacho kimejadiliwa humu na kikaibuka kwenye habari za Kenya au hata kutajwa Kenya.

Wabongo hawajazoea dhana ya "agreeing to disagree", na hili lipo hata kwenye vikao kwenu. Unakuta ukimbishia mtu kwenye kikao anabeba majungu hata kule nje mkienda kupata chai. Sisi Wakenya tumezoea kuambiana ukweli kwenye vikao, unaanikwa mubashara bila kufichwa na baada ya hapo mtakula vitafunio pamoja.
Hehehehe! Ndio hata rais wenu alishasema hajaribiwi, ukimbishia anakuchemsha fasta, nakumbuka alivyokua anasema kwamba ukigoma kumpa mkono wa salamu naye hawezi kutia saini chochote kinachokuhusu, ilikua kule Zenji.
 

Hawa vijana wa Mombasani, Waltham na Mombasite Gabriel. Huyo wa mwisho sijui kapotelea wapi ckuizi.

Waltham, Sammuel999 and Nairobiwalker come accross to me as very impatient with comments they find stupid. They can be quite harsh in their response.
 

Ushaanza kuchafua hali ya hewa, ngoja nyuki watoke mzingani.
 
Ushaanza kuchafua hali ya hewa, ngoja nyuki watoke mzingani.

Nimesema sisi huwa hatuchukulii haya majibizano too personal, hapa kama unafuata uzi wote ukitafuta fursa ya kutukana utachoka, lazima watu wakubali kutokubaliana na sio lazima kila kitu kiendane na kauli zako. Jifunze kuvumilia kuambiwa maana dunia hii lazima utaambiwa, lazima utaketi chini uelezwe.
 
Ukweli ninaojua ni kuwa Kenyan forum imebeba vichwa kwa pande zote mbili ingawa kuna watu huleta utani ambao si mzuri... hoja hupingwa kwa hoja na hii imesaidia kujua reality

Wakenya almost wote wapo vizuri ingawa kuna wale waliopo short tempered ,nationalists na wana stereotypes za ajabu kama nairobiwalker na sam999 ... mk254 huwa namkubali kwa kiswahili na pia utulivu .... iconoclates ,kAfrican na Nivlark salute maana ni rahisi kujadiliana nanyi

Watanzania nao wapo vizuri sana tu ingawa washabiki hawakosekani.....

Ukikuta mjadala umetulia kwa pande hizi sometimes unaweza usicomment maana kila unachotaka kuongea unakuta kimeshaandikwa... BIG UP
 
Ina maana hamna Mkenya ananipenda humu? [emoji23] Ati kadoda11 ni haki kweli? Ila nina uhakika ni secrets admirers the way my posts hit 1000 views in a day n in Kenyan forums means something. Mimi nawapenda nyote na nawasihi msipigane August.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
My personal favorites are Samuel 999 and Kafrican. Kafrican seems unbiased and informed, Sam's posts are a nice read that you don't even notice the length and when some poor chap is ganged upon, Iconoclastes is the sympathetic one. Pingli- nywee (funny dude), Depay, Ian Cruz, Mk254. From across the border, Tuusan and Hoshea.
 
Hongera kadoda 11 kwa kuanzisha huu uzi ambao naamini utaisha bila povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Binafsi hii ID ni kama mpya haina mda mrefu! Lakini nimeanza kuifuatilia rasmi JF mwishoni mwa mwaka 2011! Kipindi hiki nilikuwa nje ya nchi hivyo sikutaka kujisajiri kama mwanachama, nilibaki kusoma tu kama guest!

Mara nyingi nilikiwa napitia jukwaa la siasa kujua kinachojiri huku nyumbani, huku mijadala ya kule MMU ikinikera kweli kweli hadi nikawa naona lile jukwaa halina haja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nirudi kwenye mada, Kwenye hili jukwaa nilikuwa napita nikiwa nimetulia kabisaaaa!

Kuna watu walikuwa wananivutia kwa uchangiaji wao wa mawazo, hasa jinsi walivyokuwa wanakaa kidete kupambana na wakenya!

Upande wa tz!

1; Geza ulole!
Huyu jamaa ningekuwa namfaham in person basi ningeshampa tuzo binafsi kwa mda wake ambao alikuwa anautumia kupangua hoja! Nakumbuka kuna mkenya alikuwa anaitwa Lawmahima (Sikumbuki vizuri ID yake maana siku hizi simuoni!) Hawa jamaa walikuwa wanapelekana mpaka basi!

2; Askari Kanzu!
Huyu naye alipambana sana na kuwa inspiration kwangu! Siku hizi simuoni mara kwa mara nahisi kakabidhiwa jukum zito!

3;Joka kuu!
Nilipenda sana uchambuzi wa huyu bwana kwenye masuala anuai!

Kuongezea kwenye orodha hiyo yupo Kimweri, wapo wengi wengine nawatunza kwa sababu maalum!

Upande wa jirani zetu!

1; Iconoclastes!

Nampenda huyu jamaa maana ni mwepesi wa kukubali jambo unlike wakenya wengi! Ngeri yake pia hasa akipata kapovu kwa mbali huwa ananikumbusha mambo ya ngugi wa thiong'o

2; @Samuel999

Ni mchambuzi mzuri wa mambo na hana povu sana!

3; MK254, huyu nahisi anaongoza kutokuwa na povu miongoni mwa wakenya,
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nimeshikwa na mafua kali, tokea asubuhi nimeketi kwa nyumba napitia forum na simu.. Anyway sahii angalau imepungua, From my view.. Mwanzi1 ako very persistent, ukianzana na yeye mtaenda mpaka uamue wacha yaishe, I salenda! Haha,
Kadoda11 has pia hua ako sensible .... Geza nashuku hua anashikwa na wazimu mara nyengine hahahaha, anyway, tunampatia kwa kuhakikisha yeye ni enemy number 1 kwa wakenya


Kwa upande wa kenya, MK254 ye ndo nanga ya wakenya, siku akipotea basi hapa patakua hapana raha tena, Sam999 , Iconoclas... What? Hilo jina ulipata wapi? Hua nashindwa kulitaja, lakini sikuhizi hua unapotea potea, lakini pia mimi sikuhizi siko full time...Wanjala pia anarepresent,, Nairobiwalker, Nivlark lakini yeye hua ni part time but ako sawa...

Alafu kuna wale vichwa maji wanajijua, uharo kila Mahali, jamaa anaeza anzisha mada na ajijibu mwenyewe ukurasa 10 kabla mtu wa pili aongezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…