Kenyaforum: Who is your best conversationalist?.

Lol. It is Iconoclastes, Latin for the English word Iconoclast; a persson who attacks cherished beliefs or traditional institutions.

I have been having my doubts regarding religion; questioning the teachings, some of the values they preach, the beliefs.....
 
tuko kadhaa wenye hupitia chini ya waba...labda ni venye sisi ni ni ma introverts....lakini iyo crew yote ya tz na ke naitambua...@kadoda11 nice thread..
 
tuko kadhaa wenye hupitia chini ya waba...labda ni venye sisi ni ni ma introverts....lakini iyo crew yote ya tz na ke naitambua...@kadoda11 nice thread..
Hiki kiswahili cha kihindi mkuu!
 
tuko kadhaa wenye hupitia chini ya waba...labda ni venye sisi ni ni ma introverts....lakini iyo crew yote ya tz na ke naitambua...@kadoda11 nice thread..
shukrani kaka.
 
Iconoclastes, on your doubts about religion we can chit chat., check my blog; www.festoyosef.wordpress.com am sory, this is a deviate from the thread., apologies.
 
Kimweri alipotelea wapi? he was articulate, systematic when responding, and factual. am starting to like some two blind patriots., hata kama mara nyingi am not in agreement with them, just like their debating prowes; Ichoboy na Annael, hawawezi kubali kushindwa, lazima walazimishe Tanzania ionakane juu ya Kenya hata kama si ukweli, they are my guys.
 

Hahah NairobiWalker haachi asili..boxing out at Nairaland chaaa.
 
Haha. niko poa. Yep, i became a silent observer...i got busy.
Yea I get it.Being busy is not all bad it means you are gaining something on the other side.Ha!Namaanisha upande wa pili.Me too am on the hustle 12hours a day 6days a week am practically a zombie!No time to be on jf.
 

indeed Annael and ichoboy01 are not the kind of guys to despise in kenyaforum.they are good debaters.
 
Jana nilipitia juu juu hapa lakini nilikuwa busy kidogo (yes some of us Sunday is like any other day). Huu ni uzi mzuri kwa kupima joto la TZvsKE. Maana wakati mwingine watu wanachukulia haya maneno ya mtandaoni very personal. Kitu ambacho sio sawa, pamoja na kuambiana maneno makali lakini sidhani kama kuna mtanzania au mkenya ambaye anaombea nchi ya mwezake mabaya. (Well labda wapo I don't know)


But to be honest Kafrican na Edward Wanjala ni watu walio patriotic sana. Wanaipenda nchi yao kwa moyo mmoja. Mara nyingi watafuta ukweli hata kama utachukuwa muda mrefu lakini watatetea hoja kwa vielezo vya kamili.


Geza Ulole na Anneal hawa ni national treasure kwetu Tanzania. Hawa watu ndio ukuta wetu wa mwisho kwenye mapambabo, hakuna silaha itaachwa nyuma kama hawa wakiwepo.


Kadoda11 kwa Tanzania na Iconoclastes kwa Kenya ni kama maprefect wetu hapa, they make sure mada ina changamka vizuri.
 
enyewe the hardest guy kudebate naye ni geza mara nyingi wakiungana yeye kadoda11 na annael thread huwa very interactive.. Big up you three, although geza tumepitana kiasi ni Hali ya jamii forum
 
enyewe the hardest guy kudebate naye ni geza mara nyingi wakiungana yeye kadoda11 na annael thread huwa very interactive.. Big up you three, although geza tumepitana kiasi ni Hali ya jamii forum
people say "travelling is a method of learning".
nilianza ku-debate na wakenya mwaka 2012 baada ya kupata fursa ya kusafiri maeneo mbalimbali ndani ya kenya na kujifunza masuala mbalimbali ya uchumi wa kenya,jamii za kenya na desturi za wakenya.

kabla ya hapo nilikuwa sina knowledge ya kutosha kuhusu kenya zaidi ya kupata taarifa chache kupitia njia ya internet.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Geza, Annael, Mk, Colomhuzi and so many..uzi.umetulia big up K
 

..asante.

..na mimi na appreciate unavyo tuchemsha waTz hapa JF.

..nina marafiki toka Kenya. Nimeishi nao vizuri.

.. Sasa nitakuwa mtu wa ajabu nikianza kutumia lugha za hovyo-hovyo dhidi ya wanachama wa JF toka Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…