Kenyaforum: Who is your best conversationalist?.

wanaitwa blind patriots
 
Hahah NairobiWalker haachi asili..boxing out at Nairaland chaaa.
Lol! He's taking no nonsense from those people.

From the way he debates, I have this impression of him as this huge, intimidating guy, always talking at the top of his voice whilst banging the table during argumemts. And boy, are u not forced to listen?
 
lightyagami ni same na yule wa nairaland pissedyagami?
 
Wow. Nilikuwa mbali na JF. Kumbe kuna thread nzuri hivi.
 
Dani5, the only person to ever say anything 'nice' about me on Jf, where you at? I miss you big time.
 
Kote huko anatumia ID hiyo hiyo?
 
...Wapo pia wa-Kenya ma-oldtimers akina Nomasana and co. tumetoka nao mbali sana, siku hizi hua wanakuja wanachungulia kisha wanapotea....

Nakumbuka enzi hizo wakati tunatoa wazo muafaka la kuanzisha hii Kenyan sub-forum ndugu zetu wa-Kenya kama kawaida yao walipinga hoja wakidhani kua wa-TZ tunataka kuwatenga na main JF platform. Leo hii Kenyan sub-forum inachanua vizuri tu na utani wa jadi unaendelea kama tulivotarajia🙂
 
Ina maana hamna Mkenya ananipenda humu? [emoji23] Ati kadoda11 ni haki kweli? Ila nina uhakika ni secrets admirers the way my posts hit 1000 views in a day n in Kenyan forums means something. Mimi nawapenda nyote na nawasihi msipigane August.
Ukiona mkenya wa jf anakupenda ujue ku na tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…