Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Sikia mkuu hum kila mtu ana utambuz wake hasa upande wa mwelekeo ndio maana kuna kumwita mtu pindi uonapo jambo fulani lina muhusu, huyumtu kasha jitambulisha kua uonapo post inayo husu Rwanda mtamtafuta jamaa, na pind majadiliano yakiendelea bila huyu utaona watu wakimtaja taja kua mbona kimya. Mfano ww sidhan ikitokea post ina ihusu Kenya na ikawa na mjadala mkubwa watu hawaja kuona wataridhika nilazima wakutoe ulipo uje. Hivyo jamaa hapo unamwonea bwana
Da wacha kumchokoza mtaniwetu hawana mpaka mmoja na Rwanda, labda tumpe pole kuhusu sheria yao hiyo Maana ataishi Kenya kama yupo Rwandahazihusiani kivipi? mtu pekee ambaye haoni nilichopost kuwa kinahusiana ni wewe raia wa kenya mwenye asili ya kitutsi baas!
Da wacha kumchokoza mtaniwetu hawana mpaka mmoja na Rwanda, labda tumpe pole kuhusu sheria yao hiyo Maana ataishi Kenya kama yupo Rwanda
kadoda11 Visa vya usalama wa taifa wenu kushika wananchi sio chache, angalia mfano mmoja tu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lisi-wa-usalama-waomba-rushwa-wakataliwa.htmlacha uwongo.usalama wa taifa yupi anashika raia?.toa ushahidi.
kadoda11 Visa vya usalama wa taifa wenu kushika wananchi sio chache, angalia mfano mmoja tu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lisi-wa-usalama-waomba-rushwa-wakataliwa.html
ndiko wanataka kuturidisha hawa wapuzi, hii sijaipenda na hakika Uhuru atapoteza maksi nyingi sana kwa hili. Tuliumia sana ili kuiboresha katiba.
umeleta porojo isiyo na chanzo chochote cha uhakika.hiyo ni habari ya mwana JF akieleza alicho kiona airport.nataka ulete ushahidi unao onyesha TISS wana kamata raia.listen my friend,this is bongoland and not kenya where your city council police(kanju) have the power to arrest anyone in city of nairobi and ask for bribe.
huku kwetu tz askari wa jiji hana mamalaka ya kukamata raia isipokuwa wafanyabiashara wadogo wadogo (machingas) wanaofanya biashara maeneo yasiyo ruhusiwa.
umeleta porojo isiyo na chanzo chochote cha uhakika.hiyo ni habari ya mwana JF akieleza alicho kiona airport.nataka ulete ushahidi unao onyesha TISS wana kamata raia.lesten my friend,this is bongoland and not kenya where your city councel police(kanju) have the power to arrest anyone in city of nairobi and ask for bribe.
huku kwetu tz askari wa jiji hana mamalaka ya kukamata raia isipokuwa wafanyabiashara wadogo wadogo (machingas) wanaofanya biashara maeneo yasiyo ruhusiwa.
MK254 njoo hapa sijakusoma yalini hii nimeshindwa kuelewa ume edit, nakumbuka niyalong kidogoMOTOCHINI
Hehehe!! basi ngoma ndio hiyo, namfahamisha mwenzio hata askari wa jiji wa Bongo wana uwezo wa kumshika raia anayevunja sheria.
Walinishika kwa kuvunja sheria, ila baadaye niliambiwa huo ndo mchezo huchezwa hapo Ubungo, wanahakikisha hakuna choo kimefunguliwa halafu wanajificha ili kuwavizia wasafiri watakaobanwa na kuamua liwalo na liwe, ilikua gizani na kuna kichaka pembeni.