joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwani huwajui wakunya?, Wao lazima wajikweze na kuwashusha wengine, jambo la kushangaza ni kwamba, Kenya bado inaagiza Cement ya Dangotte toka Ethiopia kujaza pengo la viwanda vyao vya ndani, kwamba Tanzania bado ndiyo kinara wa Uzalishaji wa Cement hapa EA.Hiyo sio point ya yangu.... wameweka taarifa za uongo.
Pelekeni tu huko DRC, hapa bongo ni moto mwingine, tuna cement yenye kiwango kinachokidhi vigezo.Pitia hizi taarifa hapa kisha ujumuishe tonnage ya kila kampuni, utaona tunapitiliza hizo nane Top 5 Cement Firms in Kenya
You always have big dreams with nothing to show.πππKwani huwajui wakunya?, Wao lazima wajikweze na kuwashusha wengine, jambo la kushangaza ni kwamba, Kenya bado inaagiza Cement ya Dangotte toka Ethiopia kujaza pengo la viwanda vyao vya ndani, kwamba Tanzania bado ndiyo kinara wa Uzalishaji wa Cement hapa EA.
Arusha wapi na lini? Maarifu sasa hivi wanaifata hiyo hiyo Bamburi Kenya, tena kinyemela kupitia vichochoro boda. Bamburi wanainunua @12,500 TZshs per 50kg, wakati bei za cement za bongo Arachuga mfuko mmoja zaidi ya 23,000 Tzshs. Jamaa zangu, wa 'fursa', kule Manga wamepiga hela ndefu sana tangia 2020.Pelekeni tu huko DRC, hapa bongo ni moto mwingine, tuna cement yenye kiwango kinachokidhi vigezo.
Nilikuwa Arusha kipindi fulani nyuma nikakuta cement yenu(Bamburi) kama sjakosea, ilishindwa kupenya kwenye ushindani wa Simba, Twiga na nyinginezo ikabidi isalimu amri na kufunga virago.
Tanzania tunatengeneza 6.9tonnes per year, mahitaji yetu ni 5.6 tonnes, ziada tunawauzia DRC, Rwanda, Burundi, Zambia na nchi zingine, ninyi mnazalisha kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arusha wapi na lini? Maarifu sasa hivi wanaifata hiyo hiyo Bamburi Kenya, tena kinyemela kupitia vichochoro boda. Bamburi wanainunua @12,500 TZshs per 50kg, wakati bei za cement za bongo Arachuga mfuko mmoja zaidi ya 23,000 Tzshs. Jamaa zangu, wa 'fursa', kule Manga wamepiga hela ndefu sana tangia 2020.
Na hapo Dangote kina installed capacity ya 7 million tonnes na kina produce tu 3milliom tonnesTanzania tunatengeneza 6.9tonnes per year, mahitaji yetu ni 5.6 tonnes, ziada tunawauzia DRC, Rwanda, Burundi, Zambia na nchi zingine, ninyi mnazalisha kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7.5M tonnes, consumption is 7.3M tonnes. Tanzania will never reach Kenya's level.Tanzania tunatengeneza 6.9tonnes per year, mahitaji yetu ni 5.6 tonnes, ziada tunawauzia DRC, Rwanda, Burundi, Zambia na nchi zingine, ninyi mnazalisha kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Why don't you deport them? Instead of whining...Hehehehe!! Nilidhani umetoweka kwenye mapambano, wazembe ni hawa wanaotujazia omba omba kwetu, ndio taifa pekee linalotuma omba omba kwenda kwenye mataifa ya watu..
https://www.facebook.com/
Immigration officials arrest 11 beggars from Tanzania
bro, hebu pitia hapa chini kidogo ili upate kujifunza mawili/ matatu kabla ya kuja hapa kubwabwaja πWhy don't you deport them, instead of whining...
You don't have any ounce of generosity in your DNA.bro, hebu pitia hapa chini kidogo ili upate kujifunza mawili/ matatu kabla ya kuja hapa kubwabwaja π
Kenya named the most generous in Africa, report reveals
It came second after Indonesia as the most improved overall, with Singapore a distant third.nation.africa
you are entitled to have your fantasies but apparently alot more people think kenyans are generousYou don't have any ounce of generosity in your DNA.