Kenyan election 2017 was more vibrant,viewed and talked about world wide than Tanzanian 2015 elections.

Light but was due to polical crisis occured in Kenya where this didn't happened in tz area while now a president of Tanzania is so famous across the world men

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una ugonjwa fulani kisaikolojia .Mimi sikuongea chochote kuhusu uchumi you're just looking for stupid excuses to support your daft opinions.Sasa mbona mTanzania anaishi miaka michache na mbona human development index yenu iko chini kama Tz ni bora zaidi .Je huu sio utumwa wa kiaina fulani?
 
Naweka akiba ya maneno kwa sababu ya comment yako hii!
 
Vita vya Ke vs Tz ndo zimeanza tena! Salaale, nilidhani itakuwa ni peace forever!
Ukishakuja kwenye hili jukwaa ujue hii kitu will haunt you forever!

Sijui kwa nini, Lol!

Kesi ya RAO ikiisha utaona watu wanaleta hapa comparisons!

SMH[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kitu kikubwa ulichosahau ni kuwa hao wawekezaji wote hawakutuma wawakilishi kwenye huo uchaguzi, wawekezaji kazi yao ni kupiga pesa, kuwe na fujo au isiwepo!

Hao wazungu waliojazana huko kipindi cha uchaguzi ni wanasiasa ambao hawafanyi biashara zaidi ya kuandika habari za uongo juu ya bara la Africa!

Hata somalia ujue kuna wawekezaji pamoja na mabomu ya kila siku!
 
If you are a Tanzanian don't think by always belittling your country in comparison to Kenya you gain anything of importance but subjecting yourself to continuous inferiority before Kenyans. People respect you by how you you respect yourself, your country and else. One day when you face the true side of the picture you will be delusioned and shall hastily disown your statement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…