Kenyan flag is flying everywhere

Kenyan flag is flying everywhere

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
20,648
Reaction score
17,772
Kenyan golfers in Emirates golf club, Dubai. Do Tanzanians even play golf?

a54dede92707df61ab7a28e58ea0540a.jpeg
9d1e07f73f7e81f90c8f6a49e5c15f05.jpeg
c4023d7a4544e61d93f76fcda9cfac02.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha yaani mnashindanisha hata vitu vya kipuuzi ati Golf ???? by the way hawakwenda nafikiri sababu hawakuwa interested
 
Sizitaki mbichi.....kila mkishindwa na jambo.
 
Kama nyinyi hamkimbii, hamchezi kandanda, hamogelei, Mnafanya nini na maisha yenu

iv ww unasemea nn kuhusu kandanda hapa EAC ni klabu kimoja tu kinachoshiriki CAF champions league quater final and that is SIMBA SC (Tanzania) kuhusu kukimbia nakua juzi pale sweden Uganda wali shine Tz tulitoka kapa lkn ktk 10 bora za wakimbiaji tulikuwepo Golf is nothing to US
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hebu nikucheke wewe...Hivi sasa unafurahishwa na kuwa mlikuwa na mkimbiaji katika kumi bora......Inaonyeshana mambo yanayowafurahisha nyinyi ni mambo duni sana...Sisi Wakenya tumeshinda dhahabu tangu miaka ya sitini na bado tuna wanariadha wa hali ya juu mpaka wa leo….Kenya Sevens ni bora Africa, Kenya Women Volleyball bora Africa, Athletics hata tusiongee….Golf hata hamjui inachezwa vipi....
 
ktk riadha tunakuwakubali PIA na tunawaheshimu na kuwapenda ila don't disrespect us
 
Hahahaha yaani mnashindanisha hata vitu vya kipuuzi ati Golf ???? by the way hawakwenda nafikiri sababu hawakuwa interested
ktk riadha tunakuwakubali PIA na tunawaheshimu na kuwapenda ila don't disrespect us
Angalia comment yako hapo juu….Kusema tunashindana na vitu vya kipuuzi ndo kutukosea heshima Zaidi...........
 
yap nilimaanisha MABISHANO ya kushindanisha nchi moja na nyingine ktk mchezo wa golf .....mchezo ambao ata haupendwi na asilimia 50 ya waTZ
 
Mara ya mwisho Tz kwenda afcon ni enzi ya nyerere..Ndani ya miaka 3, Awamu ya JPM imerudisha sifa za nchi kwenye michezo, kwa mwendo huu naona mengi yatashuhudiwa sio tu kwa barabara reli na uchumi..Hongera Tz
 
Back
Top Bottom