Waluhya na Wajaluo sanasana. Utapata kila Mkenya akijivunia, mimi si mjaluo wala mluhya na nafurahiaHutasikia watz wanasingizia huyo chalii ni mbongo kama nyie mnavosingizia...huyu nae si mjaluo msiowapenda?sababu 90% ya wanaoiletea sifa kwenye soka ni wajaluo
Kila kabila Kenya huletea sifa Kenya kulingana na talanta zao tofauti tofauti.Waluhya na Wajaluo sanasana. Utapata kila Mkenya akijivunia, mimi si mjaluo wala mluhya na nafurahia
yupo Spain sasa hiviYule Dogo Michael Olunga yupo wapi?