Kenyan made Jets!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
We have all seen best cars rolling off Kenyan assembly line. The list goes on...
Here are the fleet of Kenyan made 'commercial' jets! Kenya is far ahead in the civil aviation than any other African country!
 
kwa kuwasaidia tu na kuokoa data zenu ,kwenye hiyo compilation hamna hata ndege moja kutoka Kenya iliyofanikiwa kupaa hata mita moja hewani, angalau Nigeria kidogo. Hao engineers wa Kenya wameshindwa kuelewa basics za Aerodynamics. Kitu kingine ndege inatengenezwa na chuma cha pua halafu unatumia engine ya Toyo. Umeishaona wapi umbo la ndege kwa mbele inakaa kama treni
 

Hao ni wasomi mbalimbali kutoka vyuo vya kenya wakiamini katika kufanya maajabu[emoji23][emoji23][emoji23].
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tokea wavumbue flying toilets in the whole world chochote kinachopaa wanakiweza, getting the picture of a flying dimba
 
Watu wa SGR mtaro na station zizi la ng'ombe hamchelewi? SGR sasa imefikia 25%? afu Mumbai tunafika lini kwa lile dreamliner 2nd Hand? bagamoyo?Steiglers choo? Hoima taka taka pipeline? Kibaka mini highway? korosho? viwanda?....bure kabisa Tanzagiza nyinyi na huo umeme wenu wa 1350mw kugawana watu millioni 60.
 
🀣🀣🀣🀣 ukiangalia video lazima ucheke sanaaaa....
 
Povu mpaka unatema uharo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…