Kenyan marries fellow man in USA

Me nadhani in the coming years tutaona ni kitu cha kawaida sana.. Theres an abundance of homosexual boys and girls hapa hapa TZ some are your friends,relatives or even siblings ila basi tu there is alot of stigma attached to identifying as gay or lesbian in many parts of the world..

Ps: I'm straight![emoji13]
 
Huyu katoa picha halisi ya wakenya
Wanaume wa kikenya ndivyo walivyo..hasa Mombasa
Pia wengi hawatairiwi.
Ni magovi
Govi ni wewe!Unajifanya pimbi wakati unajua unachokisema ni uongo mtupu?Kama hujui wakenya baki kimya tu!Wakenya wanapenda utamaduni wao kuzidia,saa zingine hilo jambo linakua ni shiiida.Uliza wenzako kwanini wakenya wengi wamekataa kumpigia jamaa flani rafiki ya JPM kura miaka hiyo yote!Pia uliza wenzako kwanini mwezi wa agosti kila mwaka,kinachoendelea huko magharibi mwa Kenya,kinawafanya jamaa flani kuingia mafichoni?
 
CHUAKACHARA Lucifer alijaribu kufikiri.. fikira ikampa ujeuri na kwenda mbali zaidi kiasi cha kutaka kufanya mapinduzi.. Kilichomkuta wote tunakijua.. Tumeletwa duniani ili tuishi maisha ya kumpendeza yeye alietuleta..
Huyo Lucifer mwenyewe una uhakika kuwa yupo?

Vitabu vya dini - Quran, Biblia, Bhagavad Gita... zote - ni hadithi za Kaka Sungura zilizopata bahati ya kuaminiwa sana na kwa muda mrefu hadi zikatiwa kwenye maandishi.

East Africa tungekuwa colonised na Mchina, si sasa hivi tungekuwa tunamwabudu Buddha?

Tumia akili, baba.
 
Is it a coincidence kwamba the known prerequisite conditions to sustain life are only found on earth bro???
 
Is it a coincidence kwamba the known prerequisite conditions to sustain life are only found on earth bro???

Do you know how big the universe is? It's most probably likely that there are other forms of life on planets in other galaxies.

Usijiskie special sana. Binadamu ni mnyama tu kama wengine; tofauti yake kuwa ubongo wake ume-develop zaidi.

Dunia yetu sio centre ya universe, na sisi binadamu hatuna uspesheli wowote; yaani, we're not "chosen".

Tafuta facts, sio hadithi za kidini. Angalia kazi ya watu kama George Abungu. Soma vitabu vya Richard Dawkins (ambaye alizaliwa Kenya), Bill Nye, etc. Kazi ya Louie Leakey pia itakuonyesha evidence ya binadamu ni mnyama tu na alibahatika kutokea on top of the food chain.

Ukisha fanya hayo, tazama kazi ya watu kama Elon Musk (space x), Jeff Bezos (blue origins) wakitafuta mbinu za kuhakikisha kwamba humanity survives disasters on Earth. Tazama kazi ya watu kama Peter M.B Waswa, Dr. John Njoroge Kimani, nk.



Haya mambo yote yanaendelea, na wewe bado umekazana na mambo ya dini yanayokuambia kwamba Earth pekee ndiyo "iliyobarikiwa na Mungu"?

There are many other planets that probably have life.
 
Soma vizuri. Mkenya ndo mume, profesa mke. Makubwa!

kwikwikwi...

"Mr Kararu Ririe, a close friend of the couple and a confessed gay Kenyan residing in California, tweeted shortly after attending the wedding: “This afternoon I had a chance to congratulate my friend, Ben and his husband, Steve on occasion of their marriage. It is a rare thing to see a Kenyan man so courageous! Congratulations.”
 




Laana hii iwe juu ya vichwa vyao wala isirukie kwa mtu yeyote asiyehusika. Labda kwa kuwa hawatakuwa na uzao milele.

Pumbavu kweli kwlei. Shetani makubwa.

Phyyyyyyyyyyyyuuuuuuuuuuuuuuuu!.
 
Uko vizuri mkuu.. kweli we are not the centre of the universe... Naelewa ila pia sio rahisi mtu kutupilia mbali knowledge that they been fed their entire life from early childhood.. Sometimes religion answers qns that science 'hasnt yet' been able to answer and vice versa..
 


Religion makes you scared of accepting scientific evidence.
 
Nimekuelewa...
Zungumzia kidogo na hili la Mwanaume wa Ki Kenya kuolewa!!
Yaani kufanywa mke!!
Na Dunia Nzima Tunafahamu.
 
kmbwembwe

Mkenya ndo mume hapo. Refer back to the very thread.
we vipi?
mkenya ndo mke,.usijifariji we mkenya
na shoga/rafiki yake kararu ririe akampongeza,.naye soon anaenda kuolewa..........hii ni aibu kwa majirani zetu.hii tabia isiwe endelevu kwa jirani zetu maana ni dhambi sana kwa MUNGU
shame on them
Sky Eclat teh hawa jamaa,.neighbors neighbors

Mkenya ,
mkenyadaima ,
MK254
 
Mbona mnawalaumu wakenya, ilaumu marekani. Huyu jamaa kaona mambo yake hayawezi kubaliwa Kenya akaona ni heri ahamie marekani maana kule ni halali and there is nothing we can do about it.
 
Mambo mengine binadamu tunayoyafanya hata shetani hakiona anasikitika kabisa
 
Mwanaume anayetokea Nakuru, Kenya mwenye makazi yake Marekani, Jumamosi iliyopita aliolewa na mwanaume mwenzake, kwenye sherehe iliyohudhuriwa na marafiki na familia.


Harusi hiyo ilifanyika Ann Arbor, Michigan. Ben Gitau, 33 alifunga ndoa na Mmarekani ambaye ni Profesa wa Hesabu Steve Damelin.

Ndoa hiyo ambayo inaruhusiwa kwenye jimbo la Michigan ilimfanya Gitau awe mke halali wa Professor Damelin. Hatua hiyo imekosolewa vikali kwao Kenya kutokana na mapenzi ya jinsia moja kuwa yanapigwa marufuku.

SOURCE:Mwanaume wa Kenya aolewa na Profesa wa Marekani | Bongo5.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…