Si kwamba tu hukumsikia, inaelekea humfahamu Raila! Ungemfahamu - fuatilia wapinzani wake wanamuitaje na kwa nini kina Uhuru wanamchukia hivyo - usingefikiria kuwa alipinga kinafiki.
Mkuu namjua vizuri sana bwana Raila Amolo Odinga Oginga Jatelo Jadwongi! Namjua ni mwanasiasa makini lakini ni mwanasiasa na wanasiasa wote baba yao mmoja.