Hivi ni kweli kuwa Wakikuyu wote watampigia kura ya ndio Uhuru?au Wajaluo wote watampigia kura za ndio Raila au Wakalenjin wote watampigia kura ya ndio Ruto au Waluhya waote watampigia kura ya ndio Musalio,sijui tuangalie huu uchaguzi wa Kenya,maadamu uwe wa waki na wazi utaonyesha maajabu
The Tyranny of Numbers by Mutahi Ngunyi