Kenyan Professor; Nothing seems to be working in Kenya except cheap politics.

Kenyan Professor; Nothing seems to be working in Kenya except cheap politics.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617


Ukishamaliza kumsikiliza kwa makini huyu professor, tafadhali pitia " Comments " za wakenya hapo chini yake, kisha usiache kutupia maoni yako hapa JF.
 
Hiyo ni Africa nzima...


Cc: mahondaw
Kuna msemo wa kiswahili huwa unasema" sio kawaida sana kumtaja mzazi wako kwa kutumia neno " Baba yetu, au mama yetu", japo mumezaliwa wengi, kila mmoja wenu hutumia maneno " Mama yangu na baba yangu".

Maisha ni wewe mwenyewe, usipende kujiliwaza kwa umasikini wako eti kwa sababu jirani yako pia ni masikini, kumbuka kwamba mahitaji na malengo ni tofauti sana. Kenya hili linawahusu wao wenyewe lazima watafute ufumbuzi.
 
prof uchwara huyoo ...tunamuitaga mzee tupa tupa!
 
prof uchwara huyoo ...tunamuitaga mzee tupa tupa!
Hahahaha, sisi tunasikilizi " contents", hatufuatilii chuki zenu zinazoambatana na " denial".
1). Dr. Ndii alipowaeleza kuhusu SGR mlisema ni kiongozi wa NASA hapaswi kusikiliza.

2)Professor Ngugi alupoandika "This time tomorrow,, mkapinga na kumtia ndani.

3)Jaramogi alipoandika " Not yet Uhuru ", mkasema ni mjaluo hana haki ya kusikilizwa.

Vipi kuhusu hao wakenya walioweka comments zao hapo chini ya hiyo video, pia nao ni wakenya uchwara?. Hahahaha.
 
Back
Top Bottom