Kuna msemo wa kiswahili huwa unasema" sio kawaida sana kumtaja mzazi wako kwa kutumia neno " Baba yetu, au mama yetu", japo mumezaliwa wengi, kila mmoja wenu hutumia maneno " Mama yangu na baba yangu".
Maisha ni wewe mwenyewe, usipende kujiliwaza kwa umasikini wako eti kwa sababu jirani yako pia ni masikini, kumbuka kwamba mahitaji na malengo ni tofauti sana. Kenya hili linawahusu wao wenyewe lazima watafute ufumbuzi.
Hahahaha, sisi tunasikilizi " contents", hatufuatilii chuki zenu zinazoambatana na " denial".
1). Dr. Ndii alipowaeleza kuhusu SGR mlisema ni kiongozi wa NASA hapaswi kusikiliza.
2)Professor Ngugi alupoandika "This time tomorrow,, mkapinga na kumtia ndani.
3)Jaramogi alipoandika " Not yet Uhuru ", mkasema ni mjaluo hana haki ya kusikilizwa.
Vipi kuhusu hao wakenya walioweka comments zao hapo chini ya hiyo video, pia nao ni wakenya uchwara?. Hahahaha.