Kenyan Prostitutes In Saudi Arabia Exposed (VIDEO)

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Kenyan Prostitutes In Saudi Arabia Exposed (VIDEO)

October 30, 2014

I came across this video when I was trawling the internets for something interesting to offer you and yours and I came across this rather interesting piece. It was an investigative piece done by a media station in Saudi Arabia that features prostitutes.

And while most of it is in English or Arabic, one interesting part is in Kiswahili. And not the type of Swahili spoken by Tanzanians or the brand popular in Kenya's Coastal regions.

This is the hodgepodge Swahili spoken on any of Nairobi's city streets.

And it would seem that Kenyans export more than just flowers to the diaspora… Well, if you really think about it, we are still selling flower
s:

[video=vimeo;110360235]http://vimeo.com/110360235[/video]
https://mpasho.co.ke/2014/10/kenyan-prostitutes-saudi-arabia-exposed-video/

MY TAKE
The worst thing is all these girls will be stoned to death, what a sad documentary Askari Kanzu kadoda11
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha ooh my my.aim LMFAO.si ni kaka zao hapa JF wanadadai their economy is officially a middle income one?.aibu kubwa sana hii kwa wakenya. lawmaina78 ukitoka "tao" upite hapa utoe maelezo ya hii aibu yenyu.your sisters in middle east are shaming you.
A%20S%20wink.gif
😛eep:
 
aisee Geza Ulole nimeitazama hiyo video.masikini wale wadada wa kikenya,wanalia kama watoto.inamaana baada ya pale ndio wanaenda kupigwa mawe?.ningejua nisingecheka hapo juu.lol
 
Ni nomaaa mzee yaani kwa sheria za Saudi Arabia hawa wanapigwa mawe mpaka kufa prostution is served by capital punishment
 
hahahahaha ooh my my.aim LMFAO.si ni kaka zao hapa JF wanadadai their economy is officially a middle income one?.

Mkuu prostitution ipo hata in developed countries, let alone middle income countries.

Sioni kitu cha kushangaa hapo; sana sana labda baadhi wangeshanga prostitution in countries like Saudi Arabia.

Lakini Wakenya kufanya prostitution is not exceptional to warrant a discussion unless hoja ni kuwa prostitution is ok in low income countries.

Au labda ulitaka kuwaonyesha Wakenya jinsi sie Wabongo tulivyo na poor reasoning?
 
hahahahaha ooh my my.aim LMFAO.si ni kaka zao hapa JF wanadadai their economy is officially a middle income one?.aibu kubwa sana hii kwa wakenya. lawmaina78 ukitoka "tao" upite hapa utoe maelezo ya hii aibu yenyu.your sisters in middle east are shaming you.
A%20S%20wink.gif
😛eep:

Mambo ya middle income inaingilia wapi hapa, kwani Marekani hamna malaya. Hii ni jambo ya kawaida, aliyewatuma huko nani. Middle income haimanishi kila mtu atafuatwa jinsi anavyopenda kushi,
 
Kenyan Prostitutes In Saudi Arabia Exposed (VIDEO)

MY TAKE
The worst thing is all these girls will be stoned to death, what a sad documentary Askari Kanzu kadoda11
Geza, hii ndio the oldest professional na ndiyo ajira inayo employ the biggest work force duniani!.

Wewe umeona Wakenya tuu?!, kwa taarifa hii ndio biashara kubwa ya dada zetu, Dubai, Bankok, Hongkong, Macau, na Ghanzou!.

Wale mala.. wa Dubai, wanaolipwa pesa ndefu ni Baganda Ladies, inasemekana wao ni "asali!", nilipelekwa mahali kwenye bonge la hoteli, 5 stars, kiingilia ni dirham 50, humo ndani shughuli ni moja, unapita kwenye corridors milango ya vyumba iko wazi huku "bidhaa" zikiwa on display!, ukipendezewa ni Dirhams 200 per hour!. Nilipendezewa mahali nikaelezwa huyo ni Mganda!, kukuta si Mganda bali ni mbongo!, tena tunaishi nae mtaa mmoja yeye akitokea familia bora!, kwao hana shida yoyote hadi kujiuza Dubai!, kumbe ndio fedha za mtaji wa nyingi ya hizi boutique za Sinza na Kinondoni!.

Hakuna stoning to death hadj ushuhudiwe na watu wazima wanaume rijali!. Kule mkishalipa mlango unafungwa!.

Nliwahi kushauri hii biashara ihalalishwe! [h=3]Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The...[/h]Pasco
 
Mkuu prostitution ipo hata in developed countries, let alone middle income countries.

Sioni kitu cha kushangaa hapo; sana sana labda baadhi wangeshanga prostitution in countries like Saudi Arabia.

Lakini Wakenya kufanya prostitution is not exceptional to warrant a discussion unless hoja ni kuwa prostitution is ok in low income countries.

Au labda ulitaka kuwaonyesha Wakenya jinsi sie Wabongo tulivyo na poor reasoning?

mkuu wewe si mgeni hapa jf,ila inaonekana ni mgeni wa mijadala ya utani wetu na wakenya.sikuahangai acha tu nikuchukulue poa.karibu sana.
 
Mambo ya middle income inaingilia wapi hapa, kwani Marekani hamna malaya. Hii ni jambo ya kawaida, aliyewatuma huko nani. Middle income haimanishi kila mtu atafuatwa jinsi anavyopenda kushi,

nilidhani hiyo middle income "yenyu" ingeweza kuzuia dada "zenyu" wasiende kuuza miili huko middle east.i'm sorry for thinking that way though.lol
 
Geza, hii ndio the oldest professional na ndiyo ajira inayo employ the biggest work force duniani!.

Wewe umeona Wakenya tuu?!, kwa taarifa hii ndio biashara kubwa ya dada zetu, Dubai, Bankok, Hongkong, Macau, na Ghanzou!.

Wale mala.. wa Dubai, wanaolipwa pesa ndefu ni Baganda Ladies, inasemekana wao ni "asali!", nilipelekwa mahali kwenye bonge la hoteli, 5 stars, kiingilia ni dirham 50, humo ndani shughuli ni moja, unapita kwenye corridors milango ya vyumba iko wazi huku "bidhaa" zikiwa on display!, ukipendezewa ni Dirhams 200 per hour!. Nilipendezewa mahali nikaelezwa huyo ni Mganda!, kukuta si Mganda bali ni mbongo!, tena tunaishi nae mtaa mmoja yeye akitokea familia bora!, kwao hana shida yoyote hadi kujiuza Dubai!, kumbe ndio fedha za mtaji wa nyingi ya hizi boutique za Sinza na Kinondoni!.

Hakuna stoning to death hadj ushuhudiwe na watu wazima wanaume rijali!. Kule mkishalipa mlango unafungwa!.

Nliwahi kushauri hii biashara ihalalishwe! [h=3]Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The...[/h]Pasco

Umesema 5Star hotel kuingia Dirham 50 inaitwaje hiyo hotel?
 
hahahaha tazama avatar ya lawmaina78 halafu tazama na kwangu.

kadoda11 Hahaha!!! nusra nife kwa kicheko, yaani uliweka avatar ya polisi Mkenya kisa kulipiza eti nimeweka ya Mbongo. Duh!! haya bwana. Ila mimi niliweka bila issue yoyote dhidi ya Tanzania, nilipendezwa na hao madogo tu. Kweli mnaumia.
 
Last edited by a moderator:
Geza, hii ndio the oldest professional na ndiyo ajira inayo employ the biggest work force duniani!.

Wewe umeona Wakenya tuu?!, kwa taarifa hii ndio biashara kubwa ya dada zetu, Dubai, Bankok, Hongkong, Macau, na Ghanzou!.

Wale mala.. wa Dubai, wanaolipwa pesa ndefu ni Baganda Ladies, inasemekana wao ni "asali!", nilipelekwa mahali kwenye bonge la hoteli, 5 stars, kiingilia ni dirham 50, humo ndani shughuli ni moja, unapita kwenye corridors milango ya vyumba iko wazi huku "bidhaa" zikiwa on display!, ukipendezewa ni Dirhams 200 per hour!. Nilipendezewa mahali nikaelezwa huyo ni Mganda!, kukuta si Mganda bali ni mbongo!, tena tunaishi nae mtaa mmoja yeye akitokea familia bora!, kwao hana shida yoyote hadi kujiuza Dubai!, kumbe ndio fedha za mtaji wa nyingi ya hizi boutique za Sinza na Kinondoni!.

Hakuna stoning to death hadj ushuhudiwe na watu wazima wanaume rijali!. Kule mkishalipa mlango unafungwa!.

Nliwahi kushauri hii biashara ihalalishwe! Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The...

Pasco

Vijana wa kitaa kama kadoda11 hawaelewi hii.
 
Last edited by a moderator:
nilidhani hiyo middle income "yenyu" ingeweza kuzuia dada "zenyu" wasiende kuuza miili huko middle east.i'm sorry for thinking that way though.lol

Haya bana, middle income imewawezesha kuenda kufanya umalaya huko majuu, wanapata 200 Dirhams kwa lisa, unajua hizo ni shillingi ngapi ukilinganisha na hela zenu dhaifu.
 
kadoda11 Hahaha!!! nusra nife kwa kicheko, yaani uliweka avatar ya polisi Mkenya kisa kulipiza eti nimeweka ya Mbongo. Duh!! haya bwana. Ila mimi niliweka bila issue yoyote dhidi ya Tanzania, nilipendezwa na hao madogo tu. Kweli mnaumia.

hahahaha....unaonaje nikitumia picha ya chege wa nakuru aliyebaka kondoo, kama avatar yangu?!.your opinion pls.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom