Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Ni wangapi wana uraia mbili kwa sasa, considering tgat hiyo sheria ya dual citizenship ilikuja kutimizwa in 2013.Ofcoz, common sense tu hapo. Hao wenye uraia mbili si wakenya 100%. Hata vitabu vya dini husema mshika mbili, moja humponyoka. Anaweza isnitch Kenya akaenda kuishi kwingine. I know sababu you're patriotic to your country hutaona sense in this, but it is like that
Arabs have been at the coast of Kenya for centuries man. Stop playing foolIn Kenya u don' t have those people of Arabic or Indian ethnicity that came there before 1500 like in Zanzibar.
These Tanzanians are just thick. How can someone who have never set foot in India have dual citizenship. Na generations zimeishi huku.Ni wangapi wana uraia mbili kwa sasa, considering tgat hiyo sheria ya dual citizenship ilikuja kutimizwa in 2013.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mbona jina ni la mhindi?
Amesahau mwaka jana kama siyo juzi feza girls walitoa mwanafunzi bora kwa tanzania mabae ni mchina akiitwa kong'kon wangKuna wahindi Kenyan citizens... Kwani uko shallow minded aje
ha haa nyie mlizubaa TZ tukawazidi kete project ya bomba la mafuta from Uganda to TZ tatizo la wakenya wanajisheua sana lakini hamna kituNyinyi mnalialia yet dar es salaam biashara ndogo ndogo zinaruniwa na chinese
Ndio mshaanza kuwakaribisha kwenu kwa kuwajengea SGR subirini muone watavyoamia mazima.Nyinyi mnalialia yet dar es salaam biashara ndogo ndogo zinaruniwa na chinese