kinjeketil
Member
- Jul 30, 2018
- 24
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute cha kufanya aisee! kama mlikuwa watu wa ngeta endeleeni na ngeta! Kuimba au kughani si fani yenu!Watch Kenyan rappers in the cypher-ing act. Watch
Mtafute cha kufanya aisee! kama mlikuwa watu wa ngeta endeleeni na ngeta! Kuimba au kughani si fani yenu!
Hahaa [emoji38] wabongo wanapenda malavidavi bana, inama inama ngololoo vitu kama hivyo! Ukiwaambia za cypher hawatakuelewa. [emoji1]Usiwe hivo haha
Hahaa [emoji38] wabongo wanapenda malavidavi bana, inama inama ngololoo vitu kama hivyo! Ukiwaambia za cypher hawatakuelewa. [emoji1]
Yep, kweli kabisa. Enzi zile ila bongo fleva ilitake over.naelewa lakini pia Tanzania ina Hip Hop nzuri.
Siku zile za kina TMK wanaume, professor Jay, Feroze ila siku hizi maloveydavi zimezidi muziki wa bongo umekuwa feminized saana na kina Diamond na wengine.Yep, kweli kabisa. Enzi zile ila bongo fleva ilitake over.
Kabisa. Huku mimi namtii sana the OG Papa Jones... Lakini wote wanajaribukwa Kenya rapper ni Kali jones OG tu!!
hao wengine siwaelewi even what they say!
Unawacha wapi Fena gitu na octo namba nane mwenyewe!. Ila namtambua og sanaKabisa. Huku mimi namtii sana the OG Papa Jones... Lakini wote wanajaribu
Hao pia nawatambuaUnawacha wapi Fena gitu na octo namba nane mwenyewe!. Ila namtambua og sana
OG ni namba nyingine,yule jamaa anachana kama haji kuchana tena,ukimpa collable haringi yeye anakamua kinoma nomaKabisa. Huku mimi namtii sana the OG Papa Jones... Lakini wote wanajaribu
OG kabarikiwa na talantaOG ni namba nyingine,yule jamaa anachana kama haji kuchana tena,ukimpa collable haringi yeye anakamua kinoma noma
ive never met a more useless person.... than one who craves to be his neighbor more than himself... jealous wanker called gezaMtafute cha kufanya aisee! kama mlikuwa watu wa ngeta endeleeni na ngeta! Kuimba au kughani si fani yenu!