Bado ni hela kidogo sana hizo. Maendeleo ya kweli Afrika yatakuja kama tukianzisha makampuni yetu makubwa kufanya miradi ya ujenzi.
Tunajidanganya kwa miundombinu kama hii lakini karibia pesa zote zinaenda nje ya Afrika. Huwezi kudai tunaendelea kwa kukopa China na kujenga miundombinu wakati pesa zote zinarudi kwao.

Kakojoe ukalale, Dangote ameingiaje hapa? Kukukumbusha tu, Tanzania ina mtandao mkubwa wa reli kuliko Kenya .Wewe kinachokuuma nini, hizo unazoziita kidogo ambazo ni KSh400 milioni, kwetu sisi hatuzichukulii kwa dharau. Ni fahari kuona kampuni ya Kikenya inapiga hela hivyo kwenye mradi wa ndani. Nyie huko kwa wivu wenu mnatamausha wawekezaji kama akina Dangote, kuwaburuza buruza ovyo.
Reli itafika Kigali.... Tena tunaijenga ya kutumia umeme.
Kakojoe ukalale, Dangote ameingiaje hapa? Kukukumbusha tu, Tanzania ina mtandao mkubwa wa reli kuliko Kenya .
14 Chinese rail workers nursing injuries after attack
The more than 200 club- and sword-wielding youth descended on the workers, chanting and shouting.
Local youth have been demanding a share of the standard gauge railway construction jobs in the area.
Recently, more than 300 youth protested against a Chinese contractor at the Duka Moja trading centre demanding jobs but police dispersed them after they attempted to block the road.

[emoji23] [emoji23]View attachment 443489
Tehehehee