Halafu wakijachukua kazi zenu kwaajili ya umaimuna wenu basi msilalamike. Umuhimu wa English language haupingiki na English itaendelea kuwa global language whether we like it or not. Waswahili wanakwambia "ukasusa wenzio wala". Sasa nyie jitieni ooh ni utumwa kujua English, na wakati huo huo employers wengi bongo wanataka someone who is fluent in English