Kenyan & Tanzanian Surburbs



Ubungo is a ward in the Kinondoni district ofDar es Salaam, Tanzania.
 
Naona Kenya alikuwa amejiandaa any way TZ pia tunaviwanja vikali japo nchi yetu ni kubwa kuliko hiyo ya Kenya afu serikali yetu ipo busy na miondo mbino ya barabara kwanza makazi baadaye.si mnaona Tibaijuka ameanza kazi.
 
Dodoma hiyooo, hatuwezi kumsahau Mchonga Meno aka Mwalimu Nyerere 🙂

 
i guess mama tibaijuka did a very great job for kenya!!

wacha kujiongopea we Uti wa Mgongo(meningitis)....Kenya imejengwa siku nyingi, huyo mama alikuta kenya imejengwa, inajengwa na akaiacha ikiendelea kujengwa.

pamoja na matatizo yao yote, hawa jamaa wako serious siyo kama TZ porojo na alinacha nyingi matendo sifuri, juzi tu hapa tumeshindwa kumuwajibisha waziri Haji Mponda na naibu wake wakati kwa hao jamaa Uhuru Kenyata aliacha madaraka mwenyewe kwa tuhuma tu.

mind u, kenya is the largest economy in East Africa, kama Germany kwa Europe wakati bongo ni largest kwa porojo kama UK kwa Europe.

:A S embarassed:
 
UDOM, Dodoma. Planed to become the BIGGEST University in Africa by having 40,000 students, Wow !!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…