Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenya town planning has done excellent job in comparison to TZ. Wana alot of investors in this sector, yaani watu binafsi huwa ndio wanajenga hizo nyumba then rent and sell them out. Problem ya TZ wajasirimali wa namna hiyo ni wachache and serikali haipi kipaumbele mambo ya kuendeleza mji.

We lack in proper infrastructure na mambo kama maji na umeme pia yanatuangusha. These could be the reasons, alot of MNC or office za kimataifa prefer Kenyas as more appealing than TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…