Kenyan & Tanzanian Surburbs

Btw huu ujumbe ni wa pande zote mbili kama ww ni TZ ama Mkenya......msisahahu madhumuni ya ukanda huu ni kuonyesha surbabs na sio picha za nyumba.
 
Anyone with pics of the new Migaa development area? i saw on Tv, it is fair to give credit for a project well done.
 
Avic town,woow! never heard of it but its so beautiful.

Tz vitu vingi vinafanyika Bila publicity...kuna sehemu kama

gangilonga, lugalo, town- iringa

bunju, kinyerezi, mbezi etc -dsm

area d, mji mpya , kisasa NA hata nkuhungu -Dodoma.

igoma, buswelu, nyakato etc in mwanza

Yaani zipo sehemu nyingi tz kuna nyumba nyingi NA zimejengwa NA watu binafsi ambazo si rahisi kupata picha zake tofauti na Kenya ambao most posted pics hapa ni project za companies tu ambazo hupangiliwa vyema hata kimiundombinu ili kutengeneza visual impression kwa wateja wao....tz unajenga nyumba yako tu bila kujali miundombinu
 
igoma, buswelu, nyakato etc in mwanza
Huku nakufaham vizuri sana coz ndo hom. kulingana na picha zilizopo kwenye huu uzi, hukutakiwa hata kutaja hizi sehem coz sio suburbs, Lets Get one thing straight, ukijenga jumba la kifahari uswaz, its not like it will transform the place to a suburb, rather your house will just seem out of place.
Case in point: rais mstaafu wa kenya, Daniel Moi, alijenga makazi yake kule Nairobi mtaa wa Kibira. lakini mpaka wa leo kibira inafahamika duniani kama slum. so long story short, igoma, buswelu, na nyakato hazihitaji publicity, bado slum tu!
 

Hizo zote nilizozitaja ni kata na si mitaa ..hivyo kuwa na nyumba za hadhi ya chini (mostly owned na watu wa asili ya hapa) kwa baadhi ya mitaa haikupi wewe haki ya kusema hizo places ni slums ...

Kama buswelu ni slum bhasi slum ni beautiful place for living...
buswelu ni mwanza mpya na ilikuwa planned muda mrefu sana pia, watu wanaoishi huko kwa wingi ni daraja la kati na matajiri .buswelu bado inajengwa na ukiilinganisha na miaka ya 2006 imepiga hatua kubwa sana..

Hata national housing wamejenga nyumba zao Kule kwa bahati mbaya nyumba zao ndo zinaonekana out of place...nimekuchambulia sehemu moja tu ili nikutoe tongotongo
 
I s
My bad! maybe nimekosea kulinganisha Buswelu palivyo na baadhi ya picha nnazoona kwenye huu uzi. By Tanzanian standards Buswelu might actually be a suburb afterall, but by any other standards......... I'll still say slum, and you'll say suburb. You win!!
 

This was a pic mtu alikuwa anachukua maana anafanya ujenzi wa nyumba yake sehemu hii....ni buswelu mtaa wa tanesco...
I must admit kuwa roads hazijawa paved na hii ni normal kwa mitaa ya tz waishipo watu wa hali ya kipato cha kati (in exclusion of places such as area d in Dodoma nd the likes ) tofauti na sehemu kama Capri point au gangi longa iringa waishipo watu matajiri tu..

Maybe kama suburb means a real estates only then I will agree with you by hundred percent because in tz real estates isnt that much necessary due to the availability of land which makes people to prefer building their own houses since they don't prefer to live in places like camps or quaters
 

Attachments

  • 1460153589840.jpg
    49.9 KB · Views: 62
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…