Kenyan & Tanzanian Surburbs

wow! Hizi zapendeza kweli! Mamtoni huku! :A S 465::A S 465:


 
Jamani Kenya is moving so fast! sisi tunabaki kupiga porojo tu. ivi tunashindwa nini kupangilia makazi yetu????? Alafu jambo jingine ni uchafu uliokithiri kwenye miji yetu. watu wanatupa uchafu kwenye mitaro ya kipitisha maji, really??? alafu wanailaumu serikali, usafi unaanza na wewe mwenyewe kwenye mazingira yanayokuzunguka
 
DAR ES SALAAM

The South Beach Resort has six (6) basic and different types of custom designed detached houses, primarily differentiated on floor and plot sizes and the facilities offered in each type. Each house type was designed to have its own characteristics different from others
house type 1

Type 2 houses were designed with a built up area of 150sq. meters including 3 en-suite bedrooms, bathroom, lounge, kitchen/breakfast, dining room, storage, utility, veranda and car port



Type 3 Houses designed to cover 200sq meters including 3 en-suite bedrooms, lounge, kitchen/breakfast, dining room, storage utility, car port and cloakroom



Type 4 A scheme comprises of 110 houses of different types and sizes. House Styles from Type 1 to type 6 are Arabic, Swahili, Modern, Mediterranean:
■type one – two bedroom bachelors quoters
■type two – three bedroom quoters
■type three – three bedroom double story quoters
■type four – four bedroom double story quoters
■type five – four bedroom double story quoters
■type six – four bedroom double story beach view



 
Uwiiiii, ngoja nitafute uraia wa Kenya sasa, kwaherini wa Tz
 
Wadau tupieni pale kati japo picha ya magogoni kwa Muheshmiwa angalau tupate kifutia machozi!Duh!Aibuuuu!!
 
Wadau tupieni pale kati japo picha ya magogoni kwa Muheshmiwa angalau tupate kifutia machozi!Duh!Aibuuuu!!

Mbona kuna picha nyingi nzuri tu tumesha bandkika wewe huzioni? Hata hivyo sio lazima kungojea wengine wabandike hata wewe unaweza bandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…