Kenyan & Tanzanian Surburbs

kabla hujailinganisha kisumu na dodomo, tafadhali kaitafuta ile video ya nakuru humu jamii forums ili upate kufunguka macho kuhusu miji ya kenya
If so then how comes more than 10% Kenyans affected with jiggers?? Funza!!
Huko mijini mnaishije? Just let me know !!
 
Hahahaha. Uliishi Dom maeneo gani??
Mbona hapa hakuna district hospital poyoyo wewe..
Mwaka huu huu....If Dodoma is Not larger than Arusha and Arusha is Not larger than Kisumuu???? Then umekula dawa ya kulevya aina gani????.???..?
 
huyu wazimu anapiga picha za hoteli moja na kutupumbaza kuwa ni mji mzima nenda ukale jongoo na wenzio labda utatia akili ati dodoma na kisumu?ivi umetoka mgodini baada ya miezi kadhaa hujui kinacho endelea
 
Mwaka huu huu....If Dodoma is Not larger than Arusha and Arusha is Not larger than Kisumuu???? Then umekula dawa ya kulevya aina gani????.???..?
Hapo ndio uelewa miji ya Tz ni levo zingine, nyie endeleeni kupiga mayowe kwenye mitandao huku mkitoa funza mikononi..[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
huyu wazimu anapiga picha za hoteli moja na kutupumbaza kuwa ni mji mzima nenda ukale jongoo na wenzio labda utatia akili ati dodoma na kisumu?ivi umetoka mgodini baada ya miezi kadhaa hujui kinacho endelea
This is also Dodoma man
 
game over naye atuletee suburbs za Dodoma, sio magorofa za ofisi tu.
Hizi hapa mkuu..
Halafu mbona kisumu ipo ugly hivi?
Na inaonekana ni mji dirty sana,
This is not acceptable aisee, mji uchafu as if ni miji ya India,
Ndio maana mnaumwa funza..

BTW karibu dodoma

Attachments

  • 1466875722481.jpg
    49.9 KB · Views: 93
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…