Kenyan way of doing things

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Creativity is synonymous with Kenyans from KoT to Memes. Hapa we can post the latest memes and lighten up this forum from the normal dick measuring contests we are used to each and every ferking day. wacha niwarushie kadhaa na nyinyi pia mrushe zenu...danganyikans are welcome as well.

Choosing to insult Islam on a meme is lame! Those people r praying n better peleka huu upumbavu kwenye forum zenu.
 
Dah hizo za swahili hata haeleweki. Tz wanafanya meme pia, ToT wana memes za kutosha Twitter.
 
Choosing to insult Islam on a meme is lame! Those people r praying n better peleka huu upumbavu kwenye forum zenu.
Pereka upumbavu Danganyika kwani umelazimishwa kufungua huu uzi marayadeh.
 
Choosing to insult Islam on a meme is lame! Those people r praying n better peleka huu upumbavu kwenye forum zenu.
hiyo si Islam ni watu wanasali., shida iko wapi? Islam ni dini tu, sio Mungu![emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
 
Ukisikia imekuuma jitoe mhanga mtoto wa Mdanganyika.
Huyo jamaa huwa namshangaa sana. Yuajifanya kuwa always serious na life all through na hamna chochote. Hapa huwa tunakejeli akina Rao, Unye na inaeleweka.Isitoshe!, huwa hatuwasazi akina Margaret wanjiru, kanyari na wengineo na ilhali sisi ni wakristo. Baadhi ya jamaa hapa huwa wanaona tuu ukabila wa wakenya, ilihali huko kwao ni udini umekolea na kukomaa.
 
Choosing to insult Islam on a meme is lame! Those people r praying n better peleka huu upumbavu kwenye forum zenu.
Yaani wewe jamaa ukiona watu wamevaa hivo vikofia na wamepiga hilo pozi unajua tu ni waislamu. Huyo hapo katikati, aliyevalia kanzu, ni aliyekuwa gavana wa County ya Meru, Peter Munya kando yake ni waakilishi wa bunge la kaunti ya Meru. Wote watatu hapo mbele ni wakristo. Next pointless please!
 
DUUU hii kiswahili hapana sikia hata siku moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kenyans Make east Africa lively! Hawa wengine ni malalo tu.

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…