Kenyans and Chinese top World dishonesty -Survey

Kenyans and Chinese top World dishonesty -Survey

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Sasa ndio ninaelewa kwanini SGR ya Kenya imejengwa kwa pesa nyingi kuliko reli zote duniani. Mkenya na Mchina wamelutana, hiyo " Combination " inazaa kitu gani?.
Hahahahaha, hahahahaha.

Magufuli funga mpaka haraka sana wasije kutuambukiza, bora kuwaruhusu wakongo wenye Ebola kuliko hizi Nyang'au.
 
Now give us the list for sorcery and human blood thirst
Hahahahaha, wewe unafanya nini kama kila kitu unataka uletewe?. Ndio mnataka kuingia Tanzania kwa kutumia IDs ninyi?. Hatutoruhusu hiyo, bora kuwaruhusu Nigerians kuliko Kenyans(According to this survey). Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha
 
Duu hii si sifa nzuri.
Au ni yule Sultan waliyempiga majuzi kwa fake gold ndiye kawaharibia.
 
Duu hii si sifa nzuri.
Au ni yule Sultan waliyempiga majuzi kwa fake gold ndiye kawaharibia.
Ndivyo walivyo wakenya tangu zamani, unadhani kwanini Nyerere aliwaita "Nyang'au", tena akasema ni " Man eat man society ". Yaani hawajui kitu kinachoitwa UTU au uungwana, kwao kila kitu ni "material" au " Monetary" value.
 
Kwa hiyo taifa lao limejengwa katika misingi ya KUKUMBATIA VITU na Kutupilia mbali UTU na MIIKO. Ogopa sana mtu ambaye hana MIIKO na kupenda vitu sana.
 
Duh!!hili ni povu kali sana...mpka unaomba ebola...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa ndio ninaelewa kwanini SGR ya Kenya imejengwa kwa pesa nyingi kuliko reli zote duniani. Mkenya na Mchina wamelutana, hiyo " Combination " inazaa kitu gani?.
Hahahahaha, hahahahaha.

Magufuli funga mpaka haraka sana wasije kutuambukiza, bora kuwaruhusu wakongo wenye Ebola kuliko hizi Nyang'au.
 
Kwa hiyo taifa lao limejengwa katika misingi ya KUKUMBATIA VITU na Kutupilia mbali UTU na MIIKO. Ogopa sana mtu ambaye hana MIIKO na kupenda vitu sana.
Utu sio kuwachinja albinos kama WaTz ,nenda pale port ya Dar uone vile wenzako wanakula pesa ili bidhaa zipite bila ushuru kulipwa ,Duhhhh nyinyi ni wafisadi wa mwisho aise.
 
Utu sio kuwachinja albinos kama WaTz ,nenda pale port ya Dar uone vile wenzako wanakula pesa ili bidhaa zipite bila ushuru kulipwa ,Duhhhh nyinyi ni wafisadi wa mwisho aise.
Corruption perception index
Kenya 141
Tanzania 99

In dishonesty, Kenya and China top the world
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
KAZUNGU-DONATE-600x333.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Bado ni Dona Kantri 🤔 mbona misaada 😂😂
 
Nyie wajukuu zenu watapitisha grader kwenye makaburi yenu ili kusiwe na kumbukumbu kwa jinsi mlivyouza nchi yenu.
Kw ruhusa ya nani na wakati nchi imeshauzwa kw wengine tayari[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom