joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, wewe unafanya nini kama kila kitu unataka uletewe?. Ndio mnataka kuingia Tanzania kwa kutumia IDs ninyi?. Hatutoruhusu hiyo, bora kuwaruhusu Nigerians kuliko Kenyans(According to this survey). Hahahahaha, Hahahahaha, HahahahahaNow give us the list for sorcery and human blood thirst
Ndivyo walivyo wakenya tangu zamani, unadhani kwanini Nyerere aliwaita "Nyang'au", tena akasema ni " Man eat man society ". Yaani hawajui kitu kinachoitwa UTU au uungwana, kwao kila kitu ni "material" au " Monetary" value.Duu hii si sifa nzuri.
Au ni yule Sultan waliyempiga majuzi kwa fake gold ndiye kawaharibia.
Ndivyo walivyo wakenya tangu zamani, unadhani kwanini Nyerere aliwaita "Nyang'au", tena akasema ni " Man eat man society ". Yaani hawajui kitu kinachoitwa UTU au uungwana, kwao kila kitu ni "material" au " Monetary" value.
Kenyans, Chinese Top World Dishonesty Survey
The research sought to find out whether the amount of money in a lost wallet impacted the...www.kenyans.co.ke
Sasa ndio ninaelewa kwanini SGR ya Kenya imejengwa kwa pesa nyingi kuliko reli zote duniani. Mkenya na Mchina wamelutana, hiyo " Combination " inazaa kitu gani?.
Hahahahaha, hahahahaha.
Magufuli funga mpaka haraka sana wasije kutuambukiza, bora kuwaruhusu wakongo wenye Ebola kuliko hizi Nyang'au.
Utu sio kuwachinja albinos kama WaTz ,nenda pale port ya Dar uone vile wenzako wanakula pesa ili bidhaa zipite bila ushuru kulipwa ,Duhhhh nyinyi ni wafisadi wa mwisho aise.Kwa hiyo taifa lao limejengwa katika misingi ya KUKUMBATIA VITU na Kutupilia mbali UTU na MIIKO. Ogopa sana mtu ambaye hana MIIKO na kupenda vitu sana.
Corruption perception indexUtu sio kuwachinja albinos kama WaTz ,nenda pale port ya Dar uone vile wenzako wanakula pesa ili bidhaa zipite bila ushuru kulipwa ,Duhhhh nyinyi ni wafisadi wa mwisho aise.
Walipokutana SGR ikazaliwa!Corruption perception index
Kenya 141
Tanzania 99
In dishonesty, Kenya and China top the world
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.Walipokutana SGR ikazaliwa!
https://www.facebook.com/Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Bado ni Dona Kantri π€ mbona misaada ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] https://www.facebook.com/
Hawa jamaa hawana kitu zaidi ya domo tuBado ni Dona Kantri [emoji848] mbona misaada [emoji23][emoji23]
Hujambo mr. Wakutoka kw dona kantri
Kw ruhusa ya nani na wakati nchi imeshauzwa kw wengine tayari[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Nyie wajukuu zenu watapitisha grader kwenye makaburi yenu ili kusiwe na kumbukumbu kwa jinsi mlivyouza nchi yenu.