Kenyans are flooding in Tanzania to seek out medical care

mention which schools in taveta!
 
Juzi nilitembelea Mbeya. Nimekuta waMalawi, waZambia, waKongo wakiwahi ile kinga ya ngoma.
Hata kina jamaa toka mido inkamu, njooni mpate, msivunge halafu mkaanza kujilaumu.
Hahaaaaa mido inkamu State!!
Njaa tupu na shida
 
Cha kuchekesha ni kwamba mwisho wa siku, watanzania wengi wanakufa kuliko wakenya
 
LOL Medical Tourism. People will always go for the cheaper option... hata wamarekani huenda Mexico kwa matibabu due to the cost.
 
Kwa tabia ni wabaya sana jirani zetu
Ila kweli sisi tuna ukarimu sana ingawa kuna wengine huwa wanabadili uso kama anataka kitu
 
wakenya endeleeni kuleta pesa za kigeni tanzania
na leo hawajui kama muhimbili ndio hospitali ya rufaa ya malawi hehehehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
LOL Medical Tourism. People will always go for the cheaper option... hata wamarekani huenda Mexico kwa matibabu due to the cost.
Not cheap but quality standards at reasonably affordable cost.
 
Cha kuchekesha ni kwamba mwisho wa siku, watanzania wengi wanakufa kuliko wakenya
Watz wengi wanakufa? Nasoma maoni yako kitambo, You're becoming dumber you know, una takwimu za watz wengi wanaokufa.
 
Utaliii wa matibabu ni sekta muhimu ambayo haijatangazwa ipasavyo na ingeweza kuingizia taifa pato kubwa sana. Kwa sasa operesheni nyingi zinafanyika hapa hapa tz na vifaa vipo changamoto ni madaktari bingwa hivyo mkazo mkubwa uwekwe eneo hilo na huduma zitangazwe hadi nje ya nchi ili tuapate fedha .
 
Write your reply...
kuna jamaa huko nairobi a.k.a mido inkamu aliamua kumuweka mtoto kwenye mfuko ili amtoroshe hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…