Kenyans ask Uhuru Kenyata to emulate Magufuli wetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817



 
Last edited by a moderator:
Zamu yao na Vasco Da Gama wao!
 

Attachments

  • 151207083942_uhuruinkenyakaribu.jpg
    27 KB · Views: 1,170
  • 151207084232_uhuruinkenyatransit.jpg
    16.9 KB · Views: 1,167
Last edited by a moderator:
Hapa umewagusa wakenya wa jf pabaya wachangiaji wachache, wakenya wa jf wako tofauti na wakenya wa mtaani kwa kutotambua ukweli kwa makusudi
 
Hapa umewagusa wakenya wa jf pabaya wachangiaji wachache, wakenya wa jf wako tofauti na wakenya wa mtaani kwa kutotambua ukweli kwa makusudi

Umekosea sana jombaa,wakenya wengi tu hata hapa jf wanamtambua magufuli sana kwa anayofanya kwa vitendo si kuengea tu kama viongozi wengi Afrika.Wacha niseme zangu,mimi binafsi nimependelea kwa sana magufuli alivoingia kazi na kuindeleza kwa kasi ya ajab.

Yaani ni kama vile mkulima anapofika shambani akaona magugu yamelemea mmea wake,kinachobaki ni kukunja shati na kuanza kazi.Hapo ndo aliponifurahisha mie inakaa yeye alitamani urais kwa madaraka atakayopata ile afanye kazi si mali ama tu sifa ya urais.

Navoona ni kama vike alikuwa ana mpangilio wake zamani sanaa atakavofanya akipata urais.Mungu ampe nguvu ya kuendelea hivo hivo, ataipeleka tanzania majirani na watani wetu mbali sana, inshallah!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…