Kenyans At Busia Border Block Roads To Push For Release Of Ugandan Politician Boby Wine

Let them use safer central corridor. It's stupidity of highest order for a democratic flawed and tribal nation like Kenya to try to be a prefect to Uganda internal affairs. Uganda should really try to assess where the SGR should pass as frequently interruptions are just a reminder of 2007 PEV. Insecurity is real in Kenya from the Alshaababs to mad citizens, the other week they bunkered a brand new oil pipeline at Kibo.

Geza Ulole I always Supported you with the Anti-Kenyas post but in this case you have gone extremely low!! I didnt expect this from you Nigger!!!!!
 
Since u don't the geopolitical plays behind the scene! People r that desperate to the extent of photoshoping Bob Wine image in the name of violence agitation. I saw that in namanga they claimed a Kenyan has been killed by Tanzanian Police only to be refuted by their Principal secretary Principal Secretary (EAC), Ministry of East African Community and Regional Development. Wacheni ujinga wa Wakenya!

Tanzanian police-Kenyan traders spat was blown out of proportion
 
Wakati Idd Amin alipokua anawachinja waganda mlikua wapi, Kenya mlimsaidia kupitisha silaha katika bandari ya Mombasa kwa kipindi chote cha utawala wake, hata kipindi cha vita ya Tanzania na Uganda bado silaha za Idd Amin ziliendelea kupitishwa Kenya.

Wakati waafrika wanauliwa na kunyanyaswa na wazungu kusini mwa Africa Kenya mlikua mnawasaidia wazungu kuendeleza unyama wao dhidi ya watu weusi. Iweje leo mnajidai mpo mstari wa mbele kukemea Mseven kumtesa mwafrika mwenzake?

By the way vipi Msonde hadi leo waliohusika na kifo chake wameshakamatwa?, vipi kuhusu watu Waliouliwa katika PEV 2007 wahusika walishawajibishwa?. Vipi kuhusu watu zaidi ya 67 waliouliwa katika uchaguzi uliopita, kuna wahusika wowote waliowajibishwa?. Punguzeni insulin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la Kenya kumsaidia nduli Amin ni uongo mkubwa sana mwenzangu. Hazifai hizi propaganda zote zenye nia ya kuchafulia Kenya jina.

Kenya ilikuwa na uhusiano mbaya sana na utawala wa Amin:

1. Kuhusiana na kushikwa mateka na kuuawa kwa baadhi ya raia wa Kenya waliokuwemo Uganda, akiwemo aliyekuwa mpiganiaji wa uhuru na wakati mmoja minista kwenye serikali ya Jomo Kenyatta, bw. Kungu Karumba.

2. Uganda haikuwa inalipia gharama ya kupitisha mizigo zake kutoka Mombasa. Ilikuwa na deni kubwa sana kwa Kenya, hivyo kuifanya Kenya kushikilia bidhaa kadhaa muhimu zilizokuwa zikielekea Uganda, ikiwemo mafuta, silaha, spareparts hasa za ndege na magari za jeshi ya Amin. In other words, Kenya iliewekea serikali ya Amin vikwazo.

3. Uganda ilikuwa na evidence za kweli ya kwamba Kenya ilisaidia Israeli kupanga na kushambulia Entebbe, ambamo raia kadhaa wa Israeli walikuwa wameshikwa mateka na maghaidi wa Palestina, wakisaidiwa na Amin.

4. Amin alitishia vita dhidi ya Kenya kwasababu:

a) za kiihistoria, ya kwamba mpaka wa Uganda kitambo ilikuwa ikiishia maeneo ya Naivasha. Alidai ya kwamba matatizo ya kiuchumi iliyokuwa ikikumba Uganda ilitokana na Kenya kuibia Uganda ardhi nyingi yenye ukwasi mkubwa.

b) soma number 2.

c) soma number 3.

Kwa hivyo ukweli ni kwamba Idi Amin alikuwa akinuia sana kuanzisha vita na Kenya. Kilichomzuia ni vile vitisho alivyopata kutoka kwa America na UK.

Kenya ilichoshwa na visanga vyake, hivyo kuamua kumhujumu wakati wa vita kwa kuzuia bidhaa zake Mombasa, na serikali ya Kenya kuchukua hatua ya kumsawishi Mobutu asiingie vita hivyo ili kumuokoa rafikiye Amin.
 
******

Sijui nilisahau kivipi kumtaja aliyekuwa waziri wa kilimo, marehemu Bruce Mckenzie, aliyeuawa na Idi Amin baada ya ndege lake kutegwa bomu alipokuwa kwenye ziara nchini Uganda. Bomu hilo lililipuka kwenye anga la Kenya, maeneo ya Ngong, mwaka wa 1977.

Cc joto la jiwe
 
Naomba unifahamishe jambo moja, baada ya IDD Amin kumpindua OBOTTE 1972 na kukimbilia Tanzania, Nyerere alifunga mpaka wa Tanzania na Uganda, kwa kipindi chote hadi 1979 IDD Amin bidhaa zake zilikua zinapitia nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni common sense tu budaboss. Wewe jifanye huoni uhusiano, the government your fellow kenyans are against has massive support in Ug, bobi ni mbaganda, they have their king, who supports museveni, no way bobi ambaye hana uhusiano na baganda kingdom akawa raisi. Sasa wewe great thinker huoni kabisa kwamba vigogo wa serikali ya Ug watashuku kuna mkono wa serikali ya kenya kutaka M7 atoke, and where will that put your two huge projects that you wish Ug to make it happen. At big risk, ukichangia na past history ya kung'oa mataruma ya reli yao inopita kwenyu. Nasikia leo mnaandamana hadi kwa balozi ya Ug hapo nairobi. Big mistake.
Saying this, am not supporting ukandamizaji wa m7. But you got to be careful when it comes to interests, unless mmeshaona hizo deals hamtazipata, sasa mnataka kuleta machafuko ili utawala ubadilike, muanze ushawishi kwa your new proxy government, unfortunately sioni Tz ikiacha hiyo kitu itokee. Kikwete alikuwa na beef kubwa sana na Kagame, magu kaja kaneutralize, tumewavutia suala la sgr wamelikubali, itakuja gas.
Business inaendelea, sasa nyie ingilieni masuala ya siasa ya nchi za watu wakati siasa zenu wenyewe zimewashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna kitu ya maana umesema.
 
Ndio maana mnaitwa N.Korea. Mnadhani raia wa Kenya wana unyumbu wa kuendeshwa ovyo ovyo na utawala kama nyie. Wakenya wakiandamana kupinga haya ya Bobi Wine wanafanya hivyo kwa hiari yao na hakuna yeyote yule atakaye wazuia. Civil society na mashirika ya kutetea haki za kibinadam yapo kwa wingi Kenya. Nyinyi endeleeni kukata mauno kwa mziki unaotoka ikulu. Aisee hatufanani hata kidogo!
Sio kukata kiuno, wala sio kwamba serikali imeforce watu wasiandamane. Ni kwamba hakuna wa Tz wenye time ya kuandamana kisa matatizo ya nchi jirani huko, huku watu tunapambana na hali zetu, kwani ushaona hata maandamano ya kisiasa bongo awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba unifahamishe jambo moja, baada ya IDD Amin kumpindua OBOTTE 1972 na kukimbilia Tanzania, Nyerere alifunga mpaka wa Tanzania na Uganda, kwa kipindi chote hadi 1979 IDD Amin bidhaa zake zilikua zinapitia nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe elewa hili; ya kwamba uhusiano kati ya Kenya na Idi Amin ilianza kuporomoka kuanzia 1975, na by the time vita vya saba saba (Tz vs Ug) vilipoanza, Kenya haikuwa na husiano nzuri na serikali ya Amin.
Hebu bisha kama hayo yote nimeyataja hapo juu si ya kweli?

Idi Amin alikuwa ni tatizo kwetu sote. Kenya sio baadhi ya nchi za kiafrika zilizomkashifu Nyerere kwa kuanzisha hiyo kampeni ya kumng'oa Amin. Iliunga vita hivyo kwa dhati.

NB: Nilisahau pia kutaja ya kwamba

a) Kenya ilikuwa pia ikiwahifadhi wakimbizi kutoka Uganda, ambao kwa maoni ya Amin, walikuwa tishio kubwa kwa serikali ya Amin.

b) Amin hakupendezwa na jinsi vyombo vya habari vya Kenya vilivyokuwa vikieneza habari mbovu mbovu tu kuhusu utawala wake. Alitaka serikali ya Kenya kuvidhibiti, lakini hilo halikufanyika. Kwa fikira zake, maoni ya vyombo hivyo vya habari zilikuwa zikiashiria maoni ya serikali ya Kenya kuhusu utawala wake. Hakuelewa ya kwamba kulikuwa na uhuru wa habari nchini Kenya.
 
Mimi sijakataa hayo unayosema, ila ninataka unieleweshe kwamba katika kipindi chote cha miaka 7 ya utawala wa Amin, exports na imports za Uganda zilipitia wapi?, very simple question.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijakataa hayo unayosema, ila ninataka unieleweshe kwamba katika kipindi chote cha miaka 7 ya utawala wa Amin, exports na imports za Uganda zilipitia wapi?, very simple question.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sir, nafkiri nimetaja suala hili hapo juu. Bila shaka walikuwa wakitumia bandari la Kenya, hadi pale Uganda ikaanza kushindwa kulipia huduma za Kenya.
 
Ndio nilikuambia kwamba Kenya iliendelea kushirikiana na Idd Amin katika biashara huku ikijua wazi kwamba Amin alikua akiwaua waganda kwa malaki ya watu, kumbuka kwamba imports nyingi za IDD Amin kutoka abroad zilikiwa ni silaha, kwanini unakataa nikisema Kenya ilimsaidia Amin kuwaua waganda?

No way sir, no. I think u are now losing it. Kenya was merely doing business with Ugandans. as far as kenya was concerned, the import/export via its port was meant to benefit the ordinary pple of Uganda, not necessarily Idi Amin as an individual and his foul govt.

Also consider that the extent of Amin brutality only started to be clear to the rest of the world in around 1975. It was around this year when relationship btwn Kenya and Amin regime begun to freeze (not necessarily bcos of his murderous ways).

Kenya was also exercising the OAU code of non- interference in the internal affairs of member state.
 
Hapana sio sawa kabisa, nchi yoyote ile ambayo utawala wake unakiuka haki za binadamu huwa inatengwa na njia kuu ni kutofanya nayo biashara, South Africa during apartheid, North korea zilitengwa ili kushinikiza ziache siasa zao. Kitendo cha Kenya kuendelea kufanya biashara na Idd Amin wakati Kenya ilikua inapokea wakimbizi wengi toka Uganda wakikimbia mauaji ni wazi kwamba Kenya ilikua inajua kilichokua kinaendelea ndani ya Uganda lakini Kenya ilitanguliza mbele maslahi yake ya kiuchumi zaidi.

Tabia ya Kenya kutanguliza maslahi ya kiuchumi zaidi kuliko ubinadamu ndio iliyosababisha Kenya kutoshiriki Vita vya ukombozi kusini mwa Africa kwa kuogopa kutengwa na nchi za Magharibi kama ilivyotengwa Tanzania na nchi zingine za kiafrika zilizopigania ukombozi wa nchi za kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni common sense tu budaboss. Wewe jifanye huoni uhusiano, the government your fellow kenyans are against has massive support in Ug, bobi ni mbaganda, they have their king, who supports museveni, no way bobi ambaye hana uhusiano na baganda kingdom akawa raisi. Sasa wewe great thinker huoni kabisa kwamba vigogo wa serikali ya Ug watashuku kuna mkono wa serikali ya kenya kutaka M7 atoke, and where will that put your two huge projects that you wish Ug to make it happen. At big risk, ukichangia na past history ya kung'oa mataruma ya reli yao inopita kwenyu. Nasikia leo mnaandamana hadi kwa balozi ya Ug hapo nairobi. Big mistake.
Saying this, am not supporting ukandamizaji wa m7. But you got to be careful when it comes to interests, unless mmeshaona hizo deals hamtazipata, sasa mnataka kuleta machafuko ili utawala ubadilike, muanze ushawishi kwa your new proxy government, unfortunately sioni Tz ikiacha hiyo kitu itokee. Kikwete alikuwa na beef kubwa sana na Kagame, magu kaja kaneutralize, tumewavutia suala la sgr wamelikubali, itakuja gas.
Business inaendelea, sasa nyie ingilieni masuala ya siasa ya nchi za watu wakati siasa zenu wenyewe zimewashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba unafikiri serekali ya Kenya ina operate kama hizo authoritarian states zenu ambapo kila kitu ndani ya nchi ku controliwa na akina M7, Kagame au JPM respectively.... Kenya does not operate like that. hao wanao andamana hapo kwa border ni wakenya wapenda haki na hakuna mtu amewatuma... am sure kama huyo balozi wa UG amekaa kenya kwa mda atajua hivyo... nakumbuka ule wakati mwengine wakenya waliandamana mbele ya ofisi ya balozi wa Egypt kwa wiki moja baada ya egypt kumshika mwanahabari wa aljerzeera peter greste ambaye alikua based in Kenya akiripoti habari za Horn of Africa..

Wakati huo hao wakenya wakiandamana hapo kwa border, Deputy president wa Kenya alikua on a 3 day state visit to Uganda ambapo yeye na M7 walifungua projects kadhaa za barabar, umeme n.k

“Uganda is one of the richest countries in the world” President Museveni tells Kenya Deputy President William Ruto – KMAUPDATES
President Museveni said that Uganda had been marred by civil war but that the country has since then restored peace and is ready to move towards development.
“Uganda has everything but we were just asleep. We had chaos and war but now have peace. Security, education, transportation and electricity have been worked on. What we need to work on is reducing the cost of electricity and transport because we are far from the sea,” he said.
Mr. Ruto commended President Museveni and the Government of Uganda for facilitating investment.
Earlier, Mr. Ruto and his delegation visited S.R. Afro-Chicks Breeders Limited in Yandwe, Luweero District.
Mr. Ruto arrived in Kampala on Saturday evening to receive the Lifetime Achievement Award for the 2018 Edition of the Young Achievers’ Awards (YAA).
The President later him in Kapchorwa District where they commissioned the construction works for the Kapchorwa –Suam road.
The Deputy President was accompanied by his wife, Rachel Ruto, son and daughter, Governor of Busia Sospeter Ojaamong, Governor of West Pokot, John Lonyangapuo and the Governor of Turkana, Josepha Naomi.
 
Hapana sio sawa kabisa, nchi yoyote ile ambayo utawala wake unakiuka haki za binadamu huwa inatengwa na njia kuu ni kutofanya nayo biashara, South Africa during apartheid, North korea zilitengwa ili kushinikiza ziache siasa zao. Kitendo cha Kenya kuendelea kufanya biashara na Idd Amin wakati Kenya ilikua inapokea wakimbizi wengi toka Uganda wakikimbia mauaji ni wazi kwamba Kenya ilikua inajua kilichokua kinaendelea ndani ya Uganda lakini Kenya ilitanguliza mbele maslahi yake ya kiuchumi zaidi.

Tabia ya Kenya kutanguliza maslahi ya kiuchumi zaidi kuliko ubinadamu ndio iliyosababisha Kenya kutoshiriki Vita vya ukombozi kusini mwa Africa kwa kuogopa kutengwa na nchi za Magharibi kama ilivyotengwa Tanzania na nchi zingine za kiafrika zilizopigania ukombozi wa nchi za kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona Mandela alutembelea Kenya na bibi yake nyakati hizo alipopata urais...

mbona nyinyi mnafanya biashara na North Korea nchi ambayo inatesa wananchi wake zaidi ya vile isreal inatesa wapalestine

Tanzania in trouble over North Korea sanctions
 
Tatizo ni kwamba unafikiri serekali ya Kenya ina operate kama hizo authoritarian states zenu ambapo kila kitu ndani ya nchi ku controliwa na akina M7, Kagame au JPM respectively.... Kenya does not operate like that. hao wanao andamana hapo kwa border ni wakenya wapenda haki na hakuna mtu amewatuma... am sure kama huyo balozi wa UG amekaa kenya kwa mda atajua hivyo... nakumbuka ule wakati mwengine wakenya waliandamana mbele ya ofisi ya balozi wa Egypt
Wamerekani huwa wanaandamana kila mara wakipinga 'occupation' ya wayahudi kule Golan Heights, Westbank na Gaza. Ila ushirikiano wa U.S na Israel unazidi kuimarika kila uchao. Wenzetu wanadhani tunafanana. Eti ukimuona mtz akifanya yake unajua tu kwamba amebebewa akili zake na JPM ama CCM. Udikteta ni donda sugu jombaa.
 
mbona Mandela alutembelea Kenya na bibi yake nyakati hizo alipopata urais...

mbona nyinyi mnafanya biashara na North Korea nchi ambayo inatesa wananchi wake zaidi ya vile isreal inatesa wapalestine

Tanzania in trouble over North Korea sanctions
Usihamishe mada, tunazungumzia Kenya kufanya biashara na IDD Amini na kitendo cha Kenya kushindwa kushiriki vita vya ukombozi kusini mwa Afrika, jibu kwanza hizo hoja then uliza hilo swali lako utapata jibu, kama umeshindwa kujibu niambie ili nikujibu swali lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom