Nilijua utarudi na maneno hewa.
Hoja nimeweka hapo mezani, nimekueleza Kagame hakuwahi kuishi Tanzania kipindi kirefu kama ulivyo-claim lakini umejifunika mchangani.
Pili Kagame haijawahi na haitawahi kutokea kuitisha Tanzania. Anajadiliwa humu kwa sababu kwa kipindi kirefu tumewahifadhi maelfu ya wakimbizi wao na kwa hivyo si ajabu Kagame kujadiliwa humu, mikoa yote ya Magharibi imekuwa na raia wengi sana wa Kinyarwanda kwa hiyo ni rahisi sana kuijadili. Ndiyo maana kuna raia wengi wa Rwanda wanaoingia Tqnzania kufanya vibarua na kufuga kwa sababu Serikali yao haina uwezo wowote wa kuwahudumia
Sent using
Jamii Forums mobile app