Kenyans dah but why?..[emoji23]

Jana kuna mmoja Twitter kabishana na watu zaidi ya buku kuwa Samatta ni Mkenya.

Kuna mmoja alimwandikia. 'No he is from Tanzania' jamaa likajibu 'Yes he is from Tanzania but Kenyan'. Nikaona nisepe zangu tu 😂
 
Wakenya wana vituko sana,wanakuambia Tanzania tumewapa Willy Paul Msafi,Samatta ni Mkenya.
 
Ina maana Wabongo hamuwezi kuhimili utani?
 
Kwan samatta mtanzania? Kama kweli kama msemavyo nipeni historia yake..
 
Utan wap kenya ndio zao kila kitu kizuri cha TZ ni chao...
Acha utoto wewe. Kwa hiyo wakisema hivyo ndio wamemuhamishia Kenya? Mnapotoa mapovu kama haya kwa issue ndogo tu tena ya utani mnatuabisha wenzenu bwana.
 
Hamna lolote nyie
Acha utoto wewe. Kwa hiyo wakisema hivyo ndio wamemuhamishia Kenya? Mnapotoa mapovu kama haya kwa issue ndogo tu tena ya utani mnatuabisha wenzenu bwana.
Kenyans ur soo selfish ni wachoyo wa kutupwa huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…