J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 Jul 4, 2019 #21 eliakeem said: Teh teh, hivi njaa kwa kiinglish inaitwaje?? Click to expand... Gunia la mahindi ni pesa ngapi huko tzedi? Nahitaji magunia kadhaa
eliakeem said: Teh teh, hivi njaa kwa kiinglish inaitwaje?? Click to expand... Gunia la mahindi ni pesa ngapi huko tzedi? Nahitaji magunia kadhaa
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Jul 4, 2019 #22 Janerose mzalendo said: Gunia la mahindi ni pesa ngapi huko tzedi? Nahitaji magunia kadhaa Click to expand... Teh teh, waulize walioko huko.
Janerose mzalendo said: Gunia la mahindi ni pesa ngapi huko tzedi? Nahitaji magunia kadhaa Click to expand... Teh teh, waulize walioko huko.
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jul 4, 2019 #23 wambie wachangamkie fursa...ukipata mzigo wako salama mi pia nitahitaji yangu ya kuhesabu ili tupate kuwaokoa wakulima wanaodhulumiwa na serikali yao ya kibabe Janerose mzalendo said: Gunia la mahindi ni pesa ngapi huko tzedi? Nahitaji magunia kadhaa Click to expand...
wambie wachangamkie fursa...ukipata mzigo wako salama mi pia nitahitaji yangu ya kuhesabu ili tupate kuwaokoa wakulima wanaodhulumiwa na serikali yao ya kibabe Janerose mzalendo said: Gunia la mahindi ni pesa ngapi huko tzedi? Nahitaji magunia kadhaa Click to expand...