Kwanza kwa hayo maneno ambayo nimepaka rangi nyekundu nataka unieleze kuna tofauti gani kati ya hivi vitu viwili ulivyotaja maana ninavyojua you are talking about the same thing using different words.Tofautisha kati ya foreign exchange earnings to the national forex reserve na actual government owned forex deposits to the central bank
Hizo remittances ni mali ya serikali au mali ya wananchi? Hiyo unayofananisha nayo ni state forex purse for national expenditures.
Wa kumfundisha mwenzie uchumi ni nani?
Unajua by the way inflation sio mbaya unavyodhani bora iwe under control. Halafu hio remittances pia ina advantages zake ambazo wewe umeamua kuignore. Hata hio article niliyokuwekea hapo juu inayozungumzia advantages na disadvantages za remittances sijui kama umeisoma. Remittances kama jambo lolote lile lina uzuri na ubaya wake.Sidhani kama umepata muda wa kutosha wa kusoma madhara ya "remittance", lakini utaona kwamba, uchumi wa Kenya umeathiriwa kwa kiasi both positive and Negative
Negative ni pamoja na
1)7High inflation rate, ukilinganisha na at majirani
2)Brain drain
3)Dependence, uchumi wa Kenya unatagemea sana mikopo
4)Uncompetitive ness of Kenyan good
5)Serikali kupoteza udhibiti wa uchumi
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ongeza na hii.Sidhani kama umepata muda wa kutosha wa kusoma madhara ya "remittance", lakini utaona kwamba, uchumi wa Kenya umeathiriwa kwa kiasi both positive and Negative
Negative ni pamoja na
1)7High inflation rate, ukilinganisha na at majirani
2)Brain drain
3)Dependence, uchumi wa Kenya unatagemea sana mikopo
4)Uncompetitive ness of Kenyan good
5)Serikali kupoteza udhibiti wa uchumi
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sawa babaa. Sasa tupe advantages za remittances maana zipo nyingi sana. Nenda kagoogle kisha uje utuambie.Ongeza na hii.
Remittances can reduce labor supply and create a culture of dependency that inhibits economic growth. Remittances can increase the consumption of nontradable goods, raise their prices, appreciate the real exchange rate, and decrease exports, thus damaging the receiving country's competitiveness in world markets.
pesa ya utumwani!Sisi tunategemea remittance (pesa ya Wakenya). Nyinyi mnategemea tourism (pesa ya beberu).
Nenda kasafishe vibabu vya kizungu matrakoo kisha utume remittances nyumbani wacha kushindana na mimi [emoji4][emoji4][emoji4]Sawa babaa. Sasa tupe advantages za remittances maana zipo nyingi sana. Nenda kagoogle kisha uje utuambie.
Unadhani hao wanaoosha mat*ko ya wazungu unaweza kushindana nao kifedha? Hao ni watu wako ligi nyingine kabisa babaa. Hao hawalipwi peni mbili kama wewe. Jamaa baada ya mwaka moja anaweza kununua kiwanja na kujenga na baada ya mwaka wa pili amenunua lorry au trela. Yaani alienda USA akiwa zero kabisa. Wengi wao huwa ni masikini na hawana chochote na wameshindwa na maisha hapa Africa lakini wanapofika huko wanapiga pesa ndefu ajabu. Wewe endelea kuwacheka ilhali bado unaishi na wazazi.Nenda kasafishe vibabu vya kizungu matrakoo kisha utume remittances nyumbani wacha kushindana na mimi [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe bado unaishi kwa wazazi na ndio maana unadhani kila mtu anaishi kwa wazazi [emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani hao wanaoosha mat*ko ya wazungu unaweza kushindana nao kifedha? Hao ni watu wako ligi nyingine kabisa babaa. Hao hawalipwi peni mbili kama wewe. Jamaa baada ya mwaka moja anaweza kununua kiwanja na kujenga na baada ya mwaka wa pili amenunua lorry au trela. Yaani alienda USA akiwa zero kabisa. Wengi wao huwa ni masikini na hawana chochote na wameshindwa na maisha hapa Africa lakini wanapofika huko wanapiga pesa ndefu ajabu. Wewe endelea kuwacheka ilhali bado unaishi na wazazi.
Nilisema hivyo maana nilidhani wewe ni kijana mdogo lakini pengine I was wrong.Kumbe bado unaishi kwa wazazi na ndio maana unadhani kila mtu anaishi kwa wazazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wakati naomoka wewe ulikuwa unafanya nini?
Nimesema kwamba "remittance" inaathiri uchumi both "Positively &Negatively", ila mimi nimetaja "Only negative effects", na nimezitaja 5 ambazo ninahisi Kenya zimeanza kujitokeza.Unajua by the way inflation sio mbaya unavyodhani bora iwe under control. Halafu hio remittances pia ina advantages zake ambazo wewe umeamua kuignore. Hata hio article niliyokuwekea hapo juu inayozungumzia advantages na disadvantages za remittances sijui kama umeisoma. Remittances kama jambo lolote lile lina uzuri na ubaya wake.
Hata lack of inflation ambayo kwa lugha ya kitaalam inaitwa deflation ina madhara mabaya sana kwenye uchumi. Yaani bei ya bidhaa zinapo anguka. Kila uchumi inahitaji inflation kidogo ili mambo yawe sawa. Inflation ni mbaya tu ikiwa rate of inflation itakuwa inapanda kwa kasi sana kama ile ya Zimbabwe ambayo ilikuwa inakuwa kwa zaidi ya 1000% kwa mwezi. Lakini rate ya 5% kwa mwezi sio mbaya.
Soma zaidi kuhusu deflation ndio ujuwe kwamba inflation sio mbaya bora iko under control na kwamba kukosa inflation kabisa pia ina madhara yake.
Explainer: Why is deflation so harmful?
BY MARK THOMA
APRIL 8, 2014 / 9:52 AM / MONEYWATCH
John Makin, writing for conservative-leaning think tank the American Enterprise Institute, warned on Monday that "Now is the time to preempt deflation." Conservatives are usually inflation hawks. So, why are some of them calling for "aggressive monetization" to avoid the deflation threat in the U.S. and Europe?
Deflation is an actual fall in prices, rather than just the inflation rate getting lower, which is call disinflation. Recall that the fear of deflation was the main reason the Federal Reserve instituted the first round of quantitative easing. What was the Fed so afraid of?
There are three main reasons to fear deflation.
First, when people expect that prices will be lower in the future, they spend less today. If you're thinking of buying a new car and expect the price will be a lot lower six months from now, why not wait?
Is inflation a risk for 2014?Thus, falling prices shift consumption from the present to the future as consumers wait for prices to fall, and the drop in demand can further depress the economy, lead to more price decreases, more cuts in spending -- and a downward spiral into a recession.
Second, deflation raises the inflation-adjusted interest rate, and that can cause consumers to spend less on durables like cars, appliances and houses that are purchased with credit. Rising inflation-adjusted interest rates also increase the cost of borrowing and can depress business investment.
That's not the end of the story. As consumption and investment spending fall, aggregate demand declines, and that causes prices to fall even further. The result is even more deflation, more cuts in consumption and spending, further decreases in prices and the economy crashes in what Irving Fisher called a debt-deflation spiral.
Another way to say this is that deflation discourages new borrowing and makes existing borrowers worse off because it raises the inflation-adjusted value of debts and makes the debts harder to pay off. So, it imposes a burden on borrowers.
Now, it may seem as though the increase in inflation-adjusted payments by borrowers is matched by lenders' higher earnings -- the borrower's loss is the lender's gain. But that's not correct. The reduced consumption by households as their loan payments rise isn't matched by a corresponding increase in consumption by lenders (who are generally wealthy and tend to save the extra income). Thus, overall spending falls. That depresses demand further, prices fall more and the result is Fisher's debt-deflation spiral.
The third problem with deflation is that wages and prices are generally sticky. That is, they don't adjust as quickly as needed to keep supply and demand balanced. Wages tend to be particularly sticky in the downward direction. The problem is that when prices are falling but wages aren't, it increases the inflation-adjusted cost of labor, and that leads to unemployment. The rise in unemployment leads to less spending, and that causes prices to fall further. Once again, the economy can enter a downward spiral.
Finally, it's important to note that outright deflation isn't required for these problems to emerge. Disinflation -- when inflation rates are above zero but declining -- can also be troublesome.
Explainer: Why is deflation so harmful?
Falling prices can lead to several problems that can quickly compound, resulting in a downward economic spiralwww.google.com
@Tony254pesa ya utumwani!
Sawa. Nadhani tumekubalianaNimesema kwamba "remittance" inaathiri uchumi both "Positively &Negatively", ila mimi nimetaja "Only negative effects", na nimezitaja 5 ambazo ninahisi Kenya zimeanza kujitokeza.
Ninakubaliana na wewe kwamba athari ya "Inflation" bado sio tatizo kwa Kenya, ila hizo 4 zilizobaki nadhani zinaathiri sana uchumi wa Kenya.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahahah, si bora wanaotandikwa mboko na watawala wao kuliko Wakenya wanaotandikwa Mboko na WachinaWatu wa ze ze ze mumeganda humo Buza mnatembezwa mboko tu na watawala wenu, mfundishwe kingereza ndio mpate ujasiri na ujanja wa kuishi dunani....hehehe!!! Hizi hela tunazituma nyumbani kisa tunajua English na kupata fursa kote kote huko nje hata kwenu huko fursa huwa tunazinyakua kwa kujua English kuwazidi nyie kwa kujua English... wazembe sana nyie watu.
English ni mtaji wetu....upo?? GODZILLA kafundishwe English
Mitano tena hadi mtie akili....
Kwenda USA na Europe kubeba mabox sio [emoji3][emoji3][emoji3]Nyinyi mna remittance ndogo kwa sababu Tanzanians are under-educated people who don't know how to speak english ndio maana hamuwezi kuenda USA au Europe kufanya kazi. Mnazaana na kukaa nyumbani halafu mnategemea pesa ya remittance iongezeke? Nigeria wanatuma nyumbani kila mwaka $23 billion kwa sababu wanajituma ndani na nje ya nchi yao. Hio ni karibu robo ga GDP yenu. Nyinyi mumezubaa tu hapo lazyland.